Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
 
Its biblical walimkataa mwanzo wanamkataa na baadae mpaka atakaporudi mwenye na hawataijua amani ya kudumu mpaka huo muda
Wangemkubali Yesu saivi ndio ingekua habari ya kusisimua
 
Israel kawaida tu hiyo dini ya judism haijawahi kubali na ndo mana walimsurubisha Sasa kukili ni fedheha kwao thus why wakaza Hadi Leo Sio masihi yule
 
Urusi washezi wamepandikiza wabunge wadini Yao waje na ujinga ndani ya familia za waizrael
 
Watakosa pesa ya utalii watakoma
 
Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
Nawashangaa wanaodhani hii habari siyo ya kweli. Naona wewe umekiri kuwa ni ukweli na siyo ajabu.

Inawezekana mambo kama haya ndiyo yalipelekea Mkatoliki Hitler kuwauwa kwa kimbari hawa Ashkenazi huko Ujerumani?
 
Hivi huyu netanyau toka nipo mtoto namsikia ni waziri mkuu. Kuna mwingine alizimia miaka mingi sana nimemsahau jina ameuliwa miaka nya juzi hapa alikuwa anavaa ki lemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…