Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madame @ FaizaFoxy yupo sahihiDoes that look like real news to you? Uwe na aibu, haipendezi kuokota habari za uongo huko vichochoroni na kuisambaza.
Sio habari ya kweli,Itazame mpaka mwisho halafu useme hiyo siyo habari ?
Ngumu kumeza?
What is your source, wakati waziri mkuu wa Israel amekataa hicho kitu?Madame @ FaizaFoxy yupo sahihi
Hakuna kipyaWajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.
Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,
Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.
CHANZO=> Christian
View attachment 2568097
========
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.
View attachment 2568145
Naam, Labda u ngeni hapa JF, hao ni vipenzi vya Wksristo wengi wa JF.
Hivi wewe una akili timamu!?..unajua muswada ni nini!?..unajua tofauti ya serikali kuu na bunge!?..netanyahu kasema hakuna huo muswada au kasema hawatoupitisha!?Sio habari ya kweli,
What is your source, wakati waziri mkuu wa Israel amekataa hicho kitu?
Hivi wewe una akili timamu!?..unajua muswada ni nini!?..unajua tofauti ya serikali kuu na bunge!?..netanyahu kasema hakuna huo muswada au kasema hawatoupitisha!?
Watakosa pesa ya utalii watakomaWajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka.
Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya Orthodox. Ni miongoni mwa watu muhimu kwenye Bunge hilo lenye siti 64 linaloongozwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu,
Kama ikipitishwa, adhabu itakuwa mwaka mmoja ukijadiliana na mtu mzima na miaka miwili ukijadiliana na mtoto chini ya miaka 18.
CHANZO=> Christian
View attachment 2568097
========
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kupitia akauti yake ya Twitter amesema Taifa hilo halitapitisha Sheria yeyote dhidi ya jamii ya Wakristo.
View attachment 2568145
Nawashangaa wanaodhani hii habari siyo ya kweli. Naona wewe umekiri kuwa ni ukweli na siyo ajabu.Hakuna kipya
Yesu kupingwa si habari mpya
Kuna mengi yatakuja zaidi ya hayo
Alipigwa hata kipindi ambacho alikuja kutimiza kusudi la Baba mbele ya ishara zote alizoonyesha na Miujiza bado alipingwa na akateswa
Wakristo wengi hawajui hili kabisa.Wayahudi hawajawahi mkubali Yesu Kristo...
Inahusu vyote Kwa pamoia.Huo mtego siuingii
Itazame mpaka mwisho halafu useme hiyo siyo habari ?
Ngumu kumeza?
Chanzo kingine hiki, cha jikoni kabisa: Proposed Bill to criminalise speaking about Jesus in Israel is just ‘one guys axe to grind’ - Premier Christian News | Headlines, Breaking News, Comment & Analysis