Netanyau ashasema kipondo kwa panyarodi hamas kitaendeleaIsrael haina utamaduni wa kuongea na magaidi.
Tarajia kipondo mpaka mwisho.
Lengo ni kumpiga na kumtokomeza adui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Netanyau ashasema kipondo kwa panyarodi hamas kitaendeleaIsrael haina utamaduni wa kuongea na magaidi.
Tarajia kipondo mpaka mwisho.
Lengo ni kumpiga na kumtokomeza adui.
Mataifa gani hayo ambayo yametoa hayo ambayo yametoa shinikizo?🤣 naona akili imegoma kukubali kwa jinsi ulivyokuwa unatoa povu humu JF. Muisrael mweusi wa Kibosho hataki kuamini.Israel hawajaomba kukaa na Hamas, na kama ni kwa maamuzi yao pekee, siamini kama wangekubali.
Lakini mateka wanaoshikiliwa ni wa mataifa mbalimbali, na hayo mataifa ndiyo yamekuwa yakitoa shinikizo kwa Israel kukubali kubadilishana mateka ili watu wao waachiliwe.
Katika Ulimwengu wa mashirikiano, kuna wakati nchi inalazimika kutenda yale ambayo mataifa mengine yanataka hata kama siyo matakwa ya Taifa husika.
Asilimia 76 ya waisrael wanataka Netanyahu aondoke madarakanKweli Hamas akili zao zimejaa kamasi.....vipi kuhusu hao waliouwawa karibia watu 13,300
Magaidi wa Hamas hawa hapa wamejificha hospitali na mabomu.
Huyu hapa mfuasi wa mudi ritzSijawahi ona watu wanapendwa kuonewa huruma hapa TZ kama ninyi wafuasi wa Mo wa bongo.
Hamas lazima wafutiliwe mbali hata kama mtaleta propaganda hizi.
Nenda kawasaidie magaidi wenzako sasa.
Wewe punguani kweli Hamas ni ideology.Sijawahi ona watu wanapendwa kuonewa huruma hapa TZ kama ninyi wafuasi wa Mo wa bongo.
Hamas lazima wafutiliwe mbali hata kama mtaleta propaganda hizi.
Nenda kawasaidie magaidi wenzako sasa.
Naona mazayuni yameanza kusandaHakuna kitu kama hiko. Israel anataka kuhakikisha nyie Muhammadan na HAMAS mnateketezwa kabisa.