Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Inashangaza sana, hata mimi nimeshangaa, mtu anaongea chini ya shule kulikuwa na magaidi, kama ni kambi ya chini ya ardhi silaha inayotumika ni bunker buster, sasa unapiga cruise missile halafu unasema ulikuwa unapiga military base... hawa hoja wameishiwa imebaki mahaba ...Huu uzi umeshavamiwa na mbumbumbu mtu anaropoka tu
Pete hegseth wala Netanyahu wala yeyote mwenye mamlaka kwa wale waliofanya hilo shambulio la kuua watoto wadogo hawajasema kwamba kulikua na kambi kwenye hiyo shule wala ku hint kitu kama hicho
Ila mlokole kutoka bongo anakwambia kulikua na kambi
Hovyo sana.
Tazama sasa hao watu walivyo wengi..๐ฎ๐ท๐ดMillions of Iranian people take to the squares in all Iranian cities against the Israeli-American aggression, in support of the Iranian response, and in support of the Iranian government.
Mkuu, wananchi wa Iran ๐ฎ๐ท wapo pamoja na serikali yao wengi wanapumbazwa na western media fake news. Kuna tetesi CIA wanataka kuwatumia wakurdi kama chambo na kuwapatia silaha.Tazama sasa hao watu walivyo wengi..
Niliwaambia watu linapokuja suala la Israel, wananchi wapo na serikali..
Kingine kitendo cha kuua vile vitoto 165 vya nursery kumetengeneza chuki sana dhidi ya US na Israel...
Matarajio ya US na Israel ilikuwa ni support ya wananchi, sasa imekuwa ngumu..
Si nimeona hapa Wakurdi wamepewa silaha tayari wapo mpakani mwa Iran, yaani hao watapigwa vibaya. Au waingie proxy wa Iran kutoka Iraq waje wawamalize.Mkuu, wananchi wa Iran ๐ฎ๐ท wapo pamoja na serikali yao wengi wanapumbazwa na western media fake news. Kuna tetesi CIA wanataka kuwatumia wakurdi kama chambo na kuwapatia silaha.
Iran: Mizan news agency, from a senior commander of the IRGC's Navy:
๐ด Americans must leave the Gulf, as this region represents our operational area.
๐ด We are only on the fourth day and have not yet revealed many of our plans.
๐ด Except for missiles and drones... we have not shown anything else in the sea yet.
๐ด We have very good plans for direct engagement, and much bigger events could happen to the Americans.
๐ด Trump claimed he destroyed Iran's navy... but the equation in the sea is clear now.
๐ด The United States cannot escort ships out of the Strait of Hormuz.
๐ด Trump cannot send his fleet to remove those stranded from the Gulf or to open the Strait of Hormuz.
๐ด Trump says "We will escort ships if necessary"... Now is the time of necessity, Mr. Trump... so come and escort these ships.
Hapa mturuki anaweza kuingilia hii show maana wakurdi ni tishio sana kwa uturuki. Hapa ndio tunawambia watu kwamba ni vyepesi kubadilisha utawala lakini ni vigumu kubadilisha mfumo wa uongozi. Sasa wapeleke jeshi la ardhini waende wakamalizwe na IRGS.Si nimeona hapa Wakurdi wamepewa silaha tayari wapo mpakani mwa Iran, yaani hao watapigwa vibaya. Au waingie proxy wa Iran kutoka Iraq waje wawamalize.
Toa updates hicho ndio muhimu usibishane na wapumbavu๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la asaluyeh. Karibu na airport
Mda utaongea maana kwa hii hali lolote linaweza kutokea.
Trump hawezi kuthubutu...
US hii vita anakwenda kuaibika, baada ya hii vita naamini China anaweza kuichukua Taiwan kwa nguvu..