Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Again at your own level

Cook him well 🀣
 
Mkuu ngoja nikuulize hili swali: hao wanaoendesha hayo malori wamejitoa muhanga kufa ili tu kuiongopea jet walichobeba?
 
Mkuu ngoja nikuulize hili swali: hao wanaoendesha hayo malori wamejitoa muhanga kufa ili tu kuiongopea jet walichobeba?
Hizo gari nani kakuambia zinaendeshwa na watu..
ISIS wenyewe wanatengeneza gari zinabeba bomb na hazina dereva, hio tech Iran inashindwa?
Watu wanatengeneza drone washindwe tengeneza self driving cars..
Nakupa link, the guardian.

View: https://www.theguardian.com/world/video/2016/jan/06/isis-workshop-driverless-car-bomb-missile-raqqa-sky-video

Tatizo mnafikiri Iran ni nchi ya mchezo, unafikiri kupambana na ISrael na US ni mchezo mchezo?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la nobniad. Mlipuko mkubwa sana
 
Yaani Kwa Dunia hii ya Leo the way ilivyo naked kwaajili ya mitandao Kuna haja kweli ya mtu kufika na Dubai ndio ili aweze kutambua kwamba Dubai Iko well design for building structure kuliko Kenya !??
Wengne wanasema new york pabaya kuliko china, anaambiwa kama kawahi kufika marekani anakua mkali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Iran wana malori yanayojiendesha yenyewe? Mmuu unafamu vizuri mlori yanayibeba missile yalloyvo? Ngoja nikubali wanayo
Kwa hiyo wanasacrifice malori yanayijiendesha yenyewe ili kuiongopea jet? Ngoja tuishie hapa
 
Hujaona video hapo juu kaweka mdau, wanapiga lorry linatembea?
We jamaa...
Iran ni nchi, tena tajiri, shaheed moja wanazounguza zinagharimu zaidi ya milioni 100, hio milioni 100 kwao si chochote... huzungumzii US anayechoma interceptor ina gharimu 30 Mils USD... 30 million USD kwa US ukiwa na hio pesa we ni tajiri...
 
Yaani Kwa Dunia hii ya Leo the way ilivyo naked kwaajili ya mitandao Kuna haja kweli ya mtu kufika na Dubai ndio ili aweze kutambua kwamba Dubai Iko well design for building structure kuliko Kenya !??
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata huduma za jamii pia unaweza kuziexperience ukiwa google map(mtandao wa mu iran)

Ngoja tutabishane badae, naskia wanajeshi wa iran wanavaa ushungi ili kukiepuka kikombe cha mmarekan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…