Nchi yako unaifananisha na Iran!??Nchi tajiri??? na wananchi waliandama sababu ya maisha magumu au unazungumzia utajiri gani kitukuu cha marehemu ayatollah
Nchi yako unaifananisha na Iran!??Nchi tajiri??? na wananchi waliandama sababu ya maisha magumu au unazungumzia utajiri gani kitukuu cha marehemu ayatollah
Ndio sababu thamani ya shilingi angu ni kubwa kuliko rial ya Iran😊Nchi yako unaifananisha na Iran!??
Gazeti la biashara hiloWall Street Journal (WSJ)
Iran bado inamakombora maelfu katika maficho yake
Haya ni yale yanayoenda mbali zaidi yamefichwa ikibidi yatumike kama last resort.
Hapo wanaomba Vita isimamishwe kijanja😁😁Iran imeonya kama raia wake wasio na hatia wataendelea kushambuliwa, watarusha cluster bomb lenye mlipuko wenye kipenyo cha hadi kilometer 8
huyo utamuweza Israel ikitungua makombora ya Iran anasema ni decoy ikishambulia launcher anakwambia mapipaMkuu kwa utaalamu ulionao wa masuala ya kijeshi, hiki ulichoandika ni uongo.
Flighter jets za sasa ziko modernized, zipo powered na AI.
Hey zina mfumo wa kutambua jengo, gari, watu, meli , launcher, n.k kabla ya kupiga jets huwa na signatures zinazoainisha utambuzi wa target inayotaka kupiga. Kama lengo liliwekwa kwenye missile, missile itakua detected kabla ya kupigwa. Haiwezi kupiga pipa kwa kuhisi ni missile.
Niliona mwandishi mmoja wetu wa bongo jana alipost hii habari inayofanana na unachosema. Hii ya kuchora ndege chini. Jets haiwezi kupiga kivuli kwa kudhani ni ndege. Ndege ikiwepo chini palepale kwenye mfumo wake itakuwa detected.
Hii haikua kitu halisi lakini akaruka nayo, nikagundua tuna tatizo la waandishi hapa bongo
View attachment 3553788
ikitunguliwa decoy ila we jamaaIran wametumia radar decoy, zinatoa fake signal, US na Israel wamezipiga....presstv
Hahaha. Biting kwenye vita ni muhimu...Hapo wanaomba Vita isimamishwe kijanja😁😁
utaambiwa ni decoy haha 😁💥💥💥💥
Zimekua intercepted, tangazo limetoka watu warudi uraiani