Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nukuu za Ayatollah

ni kweli mm ni mlemavu wa mkono na mwili wangu unaonekana umezeeka Ila ninajihisi km kijana wa miaka 40
 
Wall Street Journal (WSJ)
Iran bado inamakombora maelfu katika maficho yake
Haya ni yale yanayoenda mbali zaidi yamefichwa ikibidi yatumike kama last resort.
Gazeti la biashara hilo

hata we ukiwa na pesa unaweza kujiandika sifa zako unazotaka ili mradi utoe mkwanja
 
Nukuu za gaidi Ayatollah .


Americans can't do a damns things against us🀣🀣🀣🀣
 
Nukuu za gaidi Ayatollah

Lazima dunia itutambue kwa misimamo yetu mikali ya kidini

😁
 
huyo utamuweza Israel ikitungua makombora ya Iran anasema ni decoy ikishambulia launcher anakwambia mapipa
Iran wametumia radar decoy, zinatoa fake signal, US na Israel wamezipiga....presstv
ikitunguliwa decoy ila we jamaa
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu inashambulia kwa makombora eneo la turkmen mashariki mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora kambi ya mizinga bandar jask
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…