MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Trump ni mkurupukaji,hajielewi,๐ฎKufuatia onyo la Trump kuwa ni lazima ashirikishwe katika kumchagua kiongozi mpya wa Iran waziri wa mambo ya ndani wa Iran alimkejeli kwa kumwambia kuwa Trump hawezi hata kumchagua meya ya mji wa Boston alafu leo hii utake kuwachagulia watu wa Iran kiongozi wao?
Una BLA BLA nyingi sana kama Ayatollah Khomeini aliyepigwa dk ya kwanza ya pambanoIran anaivua nguo US..
Trump ni rais flani ambaye vitendo vyake na maneno yake anataka uelewe kwamba ,
- US ndio taifa linaloweza kuamua chochote na wakati wowote wakitaka,
- ndio taifa lenye nguvu za jeshi kuliko taifa lolote,
- ndio taifa linapaswa kunyeyekewa na mataifa yooote duniani,
- US ikitaka chochote kutoka taifa lolote lazima ikipate hata kama ni kwa nguvu.
- US inaweza kuadhibu taifa lolote endapo ikitaka, muda na wakati wowote.
- Hakuna taifa linapaswa kuwa juu zaidi kiuchumi kuliko US.
- US ndio taifa linapaswa kutoa masharti kwa taifa lolote.
Kama kauli mbiu yake isemayo MAGA , Sasa kwa huu mgogoro unavyoendelea US inavuliwa nguo, Trump anaona yote anayotaka kuaminisha watu si kweli na hapo ndipo anajitutumua kuanza kuandika mipasho mitandaoni na kufanya press na waandishi. Alivyo mjinga anasema wanaofuata ni Cuba.
Wafuasi wa Ayatollah mna maneno sana Ayatollah wenu aliyeko kwenye mabarafu saa hizi๐๐๐ Iron dome ilivyokuwa inasifiwa kama ni opponent wa USA au Israel lazima uzimie before hata hawaja kuvamia ,
Kumbe bwana ni sawa sawa na kununua kitu online tu ukisha kununua Sasa ndio unajua uhalisia wake kuwa umepigwa na kikuu on line market ๐คฃ๐คฃ
100 others unamwelewa huyu? Au ni Mimi tu kichwa changu kizitoMkuu mbona mimi nilipinga kitu tofauti? Tulichozungumzia ni gharama anazongia Iran na anazoingia marekani
Hakuna niliposema hizi nchi haziingii hasara. Hasara zipo na nikakueleza hasara ya marekani lazima iwe kubwa kuliko Iran, nikakutolea mfano wa bakhressa na muuza maandazi kariakoo
Sawa Khamenei kafa,je Trump amefanikiwa kuiangusha tawala ya kishia??Wafuasi wa Ayatollah mna maneno sana Ayatollah wenu aliyeko kwenye mabarafu saa hizi
Lakin tunaambiwa hawaogop kufa, kifo kwao ni IbadaView attachment 3553853Bado namwangalia huyu mwamba alivyotoroka kifo hapa.
Mkuu sio kila makombora yakirushwa yanapiga. Kuna interception. Hata yayayopenya huwa sio yanapenya yoteTangu asubuhi Iran imefanya mawimbi manne ya mashambulizi ndani ya Israel lakini cha kushangaza Israel mpaka sasa haijatoa taarifa yeyote kuhusu athari za hayo mashambulizi.
Kipi hujaelewa? Hasara ya marekani itafanana vipi na hasara ya Iran? Hiki ndio tunachobishana au kuna kingine?100 others unamwelewa huyu? Au ni Mimi tu kichwa changu kizito
Kaishi miaka 86 na hajinyei wala kutoa harufu kama Trump au kupoteza kumbukumbu kama Biden,wewe hapo una chini ya 40 na Figo Zina mawe,zimechachaAyatollah Khomeini Mzee wa majigambo
Yuko kwenye mabarafu
Vita sio maneno matupu kama who are you
IDF wanashangaa hizbullah kaja na intensity tofautiConfirmed report.
-5 IDF casualties as the result of Hizbollah attacks.
Israel inalipua makazi ya raia Hizbollah wanawadedisha IDF.
Habari ipo India,china na urusi kuwa Abraham Lincoln imechezeaMeli ya Jangwani hiyo naona Hadi vumbi
Waarabu Koko ni wajinga kweli