Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Dr. Sule ndio nani??
Mbona unashindwa kutumia akili unazidi kuropoka?

John F. Kennedy rais wa zamani wa USA aliuawa,je USA ni dhaifu!??
Naomba jibu tafadhali.

Kama serikali ya Iran dhaifu kwanini Trump ameshindwa kuiangamiza hadi sasa!??
Je regime change imefanikiwa Iran??

Nataka majibu kama mtu mzima usiniletee majibu ya kihanithi.
 
πŸš€πŸ΄β€β˜ οΈ Hezbollah rockets slam into northern Israel

Footage shows Hezbollah launching rockets from southern Lebanon toward Israel, with Israeli media reporting that Haifa was among the targets.

Around 40 rockets were fired in the latest barrage, according to Israeli outlets.

πŸ›’ Hezbollah said throughout the day it had also launched rockets and drones toward Israeli targets, including the Haifa oil refinery and several military and defense industry sites.
 

Attachments

  • VID_20260307_223626_210.mp4
    2 MB
  • VID_20260307_223601_097.mp4
    5.7 MB
Ni kweli ni rafiki yako wa kihistoria lakini atakugharimu,ukweli wa mambo unaopatkana kutoka vyanzo vya kunyapianyapia ni kwamba Tel Aviv sasa hivi inafanana na Gaza.
Sina urafiki na Netanyahu, jua kusoma "quote", hapo anasema "rafiki yangu Trump"
 
Nchi ina serikali mbili hiyo, raisi hasikilizwi hiyo kweli terror regime kama anavyosema trump
Kwahyo Trump akikwambia wew ulizaliwa premature with lower birth weight utakubali tu wakati kipindi unazaliwa hakuepo. Hivyo mkuu jitahidi kuishughulisha akili yako kwa kusoma mifumo ya uongozi sio tu kwa irani bali pia kwa nchi nyingine. Hapa utanielewa kama utaweka mahaba pembeni na hisia.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
King'ora cha tahadhali kimelia katikati mwa Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…