Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel sasa anapambana zigzag, kweli nimeamini hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Mashambulizi ya Hezbollah na Iran sio mchezo..

Baada ya kufeli kufanya regime change, kujitia ni wazee wa mipango mikakati, precision strike, kwamba wapo very smart ... sasa wanafanya terror bombing...
 
Ndo umuite mwennzako hanithi
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Jamaa wamekua paranoid.
 
Iranian President Masoud Pezeshkian apologized to neighboring Gulf countries after Iranian strikes affected their territory during the war. The apology was meant to ease tensions and reassure those states that Iran did not intend to target them unless attacks on Iran came from their soil. However, the move sparked criticism inside Iran, where hardline politicians and figures linked to the Revolutionary Guards argued that apologizing during an ongoing conflict made the country appear weak.Source: Reuters
 
Jamaa wamekua paranoid.
Hawa ndio walikuwa wanalenga viongozi, nuclear site, makombora yalipo nakadhalika..
Hivi sasa wameona wapige miundo mbinu ya kiraia, ni maamuzi magumu sana wamefanya maana wanaelewa matokeo yake.

Israel baada ya muda iron dome hazitozuia missiles, maana Hezbollah nae anapeleka moto si kawaida.
 
Hii tweet inaelezea vizuri Sana situation ya Marekani Vs Iran sasa hivi


View: https://x.com/elefteriades/status/2030238744213614899
Huyo ni secretary Tu ambaye sasa hivi ni kama msemaji anatupa updates, ana Topic 3 ambazo vyuo vya West wanafunzi wanasomeshwa, ni MTU ambaye angeamua Leo angekua professor Chuo kikubwa Duniani anakula maisha, kila unayemgusa serikalini ni msomi mkubwa Ila anajishusha kuendeleza nchi Yao,

Nenda upande wa pili sasa, vituko Kuanzia Raisi Hadi huyo waziri wa vita ni watu Design kama Pdiddy wa JF hata kuandika paragraph ni issue.
 
Iranian missiles have targeted northern Israel, Jerusalem, and Tel Aviv.

The IRGC’s public relations department has announced it carried out a combined drone and missile operation against US and Israeli targets.


 
Kwanini mkuu!? Kwanini wanunue decoys na za kazi gani!?
Kuna videos nyingi idf wanapost wnalipua Ndege, train, Missile launcher etc ila wataalam wakiangalia si vitu halisi Bali ni decoys, video nyingi zimepostiwa humu.

Mfano unakuta helcopter umepigwa ila baada ya bomu kulipuka ipo vile vile mapanga yake na body lake kuonesha ni mchoro Tu na sio Helcopter halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…