Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

✑️ β€˜There's no state on planet more murderous than Israel’ – Mearsheimer

πŸ’¬ β€œSo the idea that they would use nuclear weapons [against Iran] is certainly plausible. And I really worry about this scenario,” Prof. John Mearsheimer underlines.
πŸ’¬ β€œIf the Israelis lose in Iran, they will be fully aware that they lost,” which could prod them β€œto think about using nuclear weapons,” the pundit adds.
 
Uandishi wako unaonesha jinsi ulivyo finyu kichwani. Binadam yeyote anapenda kuishi sehemu yenye fursa na ustaarabu na ndio maana hata hao wakimbizi wa nchi za kiarabu na Somali wote huwa wanakimbila US na sio Iran, Misri wala Afghanstan umewahi jiuliza ni kwa nini? Nimetoa mfano wa kuishi US au Iran ili kuverify ya kuwa US ni sehemu ya kistarabu na salama kuishi kuliko huko unakokutetea ambako hata raia wao enyewe hawakupendi. Ni juzi tumeshuhudia wachezaji wa timu ya wanawake wa Iran wakigoma kurudi nyumbani ambako kuna ndugu na familia zao wakalilia kubaki Australia, hii inakupa picha gani? Yaani wewe ndio ujifanye unamapenzi na Iran kuliko wale wachezaji? Jaman tuache unafiki.
 
Yaani US kuna ustarabu we kiazi kweli, unaangaliaga hata Forum za nchi zenye ustarabu?. Nchi ambayo watu zaidi ya asilimia themanini wanamiliki silaha, ustarabu unatokea wapi. Mkimsikiliza Akon anakwambia kila kitu ni brand US wameibrand vizuri, ila anakwambia matukio ya uaji mwaka kwenye jimbo la Chicago ni makubwa kuliko Afghanistan.Sehemu salama mpaka wanafunzi, watoto wadogo wanawindana na mabunduki mashuleni/vyuoni.

Kwa hiyo hao wachezaji ni kigezo wananchi hawautaki uongozi? Ethiopia na Eritrea wanakujaga hapa kwa michuano ya CECAFA,baada michuano kuisha zaidi ya nusu wanakimbilia South Africa, ina maana nao hawana mapenzi na nchi yao?
Okay wewe unazani Trump anapendwa na wote ,kakoswa mara ngapi kuuwa inamaana wanao mwinda kumuua,hawana mapenzi na US,yaani kiazi unaacha kuziangalia fursa zilizo kuzunguka unaifikiria US.
 
Huo moto unasemekana sio wa kupigwa ni wa chanzo cha ndani ya meli. Na wametoa ripoti kwamba iko fully functional despite huo moto kutokea.
Utegemee uambiwe kweli? Red Sea ni moja ya wapo ya ukanda ulio karibu na Wahouth wa Yemen kuna asilimia kubwa wao ndio wamefanya hilo shambulizi halafu sio mara kwanza hata kipindi kile Myahudi anampiga Mpalestina walishambulia meli ya Lincoln, sema tu ile meli ilikingwa na meli nyingine kumi ambazo huilinda Lincoln na US wakaiondoa Lincoln kwenye bahari ya red sea. Kipindi hiko Wahouth walipiga marufuku meli yoyote kupita Red Sea.
 
Narudia tena akili yako either ni ndogo mno au elimu yako juu ya utambuzi wa mambo ni zero. Kwa hiyo kuna mchezaji au rahisi wa Marekan anaweza kulilia kwenda kuishi Iran? Kwa nini iwe raisi kwa raia wa Iran kulilia kuishi Ulaya? Huoni hapo kuna tatizo? Sitakujibu tena maana inaonesha unafrustrations.
 
We kiazi kweli kwa hiyo raia wa US kitokulilia kwenda Iran,ndio kunaifanya US kuwe nchi ya kistarabu? Nimekutolea mfano Eritrea na Ethiopia wanakimbilia South Africa ina maana South kuna ustarabu miji minne ya South ipo kwenye miji hatari duniani. Mimi mwenyewe siwezi kubishana na kiazi anayeshobokea nchi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…