π€£π€£
Mashambulizi makubwa sana yanafanyika muda huu ππ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la shiraz
Mmhhπ₯π₯π₯π₯
Israel imetoa tangazo la kufunguliwa kwa shughuli mbalimbali ndani ya Israel ikiwemo mikusanyiko, kufungua shule, kazi n.k
View attachment 3558028
Duh!Mashambulizi makubwa sana yanafanyika muda huu π
Msisitizo wa nilichoweka juuDuh!
Mbona sasa unaji quote mwenyewe? π€£