Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Jeshi la Anga la Israeli lilishambulia uongozi mkuu wa Kikosi cha Basij katikati mwa Tehran wiki hii. Katika shambulio hilo, kamanda wa kikosi hicho, Gholamreza Soleimani, pamoja na makamanda wengine kadhaa wakuu waliangamizwa.

IDF inathibitisha kwamba katika shambulio hili, Esmail Ahmadi, ambaye alihudumu kama Mkuu wa Kitengo cha Ujasusi cha Kikosi cha Basij, aliondolewa.
 
Attachments

  • IMG_20260321_033138_452.jpg
    IMG_20260321_033138_452.jpg
    160.5 KB · Views: 12
  • f931d37d-8d1a-4760-b43e-adc9cd7f3c9b.mov
    24 MB
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la vituo vya jeshi Qom. Milipuko mikubwa sana
 
IRGC Quds Force Commander Esmail Qaani says the “axis of resistance” is growing stronger and acting independently against the U.S. and Israel, with more operations to come.He calls unity across fronts the key strength of the Islamic world and “a nightmare for global arrogance and Zionism,” adding that recent actions have shocked enemies and that “greater surprises” are ahead.

Jamaa hajafa
Insanity is hearing this and thinking "oh it's the real man talking", and then seeing a live press conference of the other person and saying "Ai, he's dead", this few days made me realize one thing about the human race today, we believe what we want to believe, not what we hear or see but whatever makes us feel good and happy
 
Sri Lanka wamekataa US kutumia viwanja vyao vya ndege kuhost ndege za kivita wamechagua kuwa neutral.
Screenshot_20260321_070149_Chrome.jpg

View: https://m.youtube.com/watch?v=Db056tdAW5g
Jana Iran kashambulia sehemu tano zikiwemo bandari za Myahudi,yaani hii inayo onesha maanga yote ya US Allies middle east,yamekuwa kama chujio.
Screenshot_20260321_070348_Chrome.jpg

View: https://m.youtube.com/watch?v=FZIThFcfsks
Yote tisa Jana akirusha bomu lililo safiri umbali wa km 4000+ kwenye kambi ya kijeshi ya UK (kisiwa cha Diego Garcia) ,ambayo US ameweka ndege zake B-2 anazozitumia kwenye mashambulizi, UK na US wamekuwa suprise na shambulizi hili japo mabomu matatu yalikuwa intercepted.So now kambi hiyo UK ijiandae maana ipo hatarini.
Screenshot_20260321_070556_Chrome.jpg

View: https://m.youtube.com/watch?v=87eBP2KgsJM
Hiyo haitoshi Iran Jana wameomba maelezo kuroka Germany, kwa nini ameruhusu kambi yake itumiwe na US kufanya mashambulizi naona nao wajiandae na kambi zao.

View: https://m.youtube.com/watch?v=-wfIaWdKceI
Kila siku Trump anatuambia kapiga kila kitu.Ila ukitizama meli zake tatu, Lincoln,Ford na Tulsa zimeondoka middle east na mpaka sasa hakipiti chochote Hormuz bila ruhusa ya Iran.
Mara aseme wamepiga vikosi vyote vya anga,Jana ndege yao ambayo wanadai wenyewe haionekani kwenye Radar,yenye thamani ya zaidi USD 100mil F-35,ilipigwa na bomu ambalo thamani yake ni 10k USD,yote tisa bomu alilolirusha Jana kwenda kambi ya UK ya Diego Garcia 4000+km aways ndio limewashtua so hizi ndege zake za B-2,zitafute eneo jingine, maana ndani ya wiki hii hiko kisiwa kitakuwa kimesambaratishwa na Sri Lanka kakataa viwanja vyake vitumike na US kwa ajili ya mashambulizi.
 
💥💥💥💥
Trump: tumeshinda, tumepiga jeshi la maji, tumepiga jeshi la anga, tumepiga kila kitu kinachohusu jeshi, wamekwisha.
Updates nyingine uwe unachuja na wewe na usitupostie watu wenye akili timamu hapa sio Twitter mzee,jitu linakwambia limeshinda halafu linawalazimisha wenzie na kuwakasirikia kabisa wakafungue Stait of Hormuz hii ina tofauti gan na muoshaji kumuogopa maiti?
 
Sri Lanka wamekataa US kutumia viwanja vyao vya ndege kuhost ndege za kivita wamechagua kuwa neutral.
View attachment 3560871

View: https://m.youtube.com/watch?v=Db056tdAW5g
Jana Iran kashambulia sehemu tano zikiwemo bandari za Myahudi,yaani hii inayo onesha maanga yote ya US Allies middle east,yamekuwa kama chujio.
View attachment 3560873

View: https://m.youtube.com/watch?v=FZIThFcfsks
Yote tisa Jana akirusha bomu lililo safiri umbali wa km 4000+ kwenye kambi ya kijeshi ya UK (kisiwa cha Diego Garcia) ,ambayo US ameweka ndege zake B-2 anazozitumia kwenye mashambulizi, UK na US wamekuwa suprise na shambulizi hili japo mabomu matatu yalikuwa intercepted.So now kambi hiyo UK ijiandae maana ipo hatarini.
View attachment 3560876

View: https://m.youtube.com/watch?v=87eBP2KgsJM
Hiyo haitoshi Iran Jana wameomba maelezo kuroka Germany, kwa nini ameruhusu kambi yake itumiwe na US kufanya mashambulizi naona nao wajiandae na kambi zao.

View: https://m.youtube.com/watch?v=-wfIaWdKceI
Kila siku Trump anatuambia kapiga kila kitu.Ila ukitizama meli zake tatu, Lincoln,Ford na Tulsa zimeondoka middle east na mpaka sasa hakipiti chochote Hormuz bila ruhusa ya Iran.
Mara aseme wamepiga vikosi vyote vya anga,Jana ndege yao ambayo wanadai wenyewe haionekani kwenye Radar,yenye thamani ya zaidi USD 100mil F-35,ilipigwa na bomu ambalo thamani yake ni 10k USD,yote tisa bomu alilolirusha Jana kwenda kambi ya UK ya Diego Garcia 4000+km aways ndio limewashtua so hizi ndege zake za B-2,zitafute eneo jingine, maana ndani ya wiki hii hiko kisiwa kitakuwa kimesambaratishwa na Sri Lanka kakataa viwanja vyake vitumike na US kwa ajili ya mashambulizi.

Mh Iran kaunda lini kombora la masafa ya kilometa 4000!?
Mbona hili ni jipya?
 
Back
Top Bottom