Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ulijidai mbabe sana, leo umepigwa na kijana mdogo Iran aibu imekupata 😊
Ungepambana na mimi China, kilema ungekipata 🤗

Najua rais wa China Xi Jinping anaimba haka kawimbo kimyakimya huku akicheka
Hakuna paper tiger duniani kumshinda china, vita zinawasumbua Urusi na USA ambao wamepambana za kutosha ila china hamna kitu, kuwa na silaha pekee hakutoshi... Hadi leo hii Taiwan imejitenga anabaki anaimba tu ngonjera na mbwembwe kibao atie mguu aone
 
Hii itakuwa ni rushwa kwa Iran ili ipunguze kichapo au
Watakuwa wamepewa sharti na Iran kuwa kama wanataka mazungumzo ya ceasefire basi waruhusu wese la Iran liuzwe bila vikwazo!

Iran imewacheckmate Wamarekani kwenye hii vita na sababu ni hizi

1. Inauthibiti wa strait of Hormuz.
2. Imeweza kupiga masilahi ya marekani ktk nchi za Gulf
3. Imeionyesha Marekani kuwa ina uwezo wa kupiga F-35, Ndege ambazo Marekani alidhani haziwezi kuguswa
4. Iran imeionyesha Marekani kuwa Ikileta Aircrafts carrier zinatiwa kilema
5. Iran jana imeionyesha Marekani kuwa hata ikificha midege yake ktk visiwa vya Diego Garcia, bado inaweza kuipapasa kama ikiamua.
6. Iran imeonyesha kuwa inao uwezo wa kuendelea kurusha vimondo kama kawida.
🤣
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la piruzi mashariki mwa Tehran
20260321_131318.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi ya mizinga yazd
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Uingereza sasa imeruhusu marekani kutumia base yake ya RAf fairford kushambulia Iran.
Hapa B-52 ikiwa imetoka Raf fairford kwenda kushambulia Iran
20260321_131518.jpg
 
Wameachia,chezea Trump wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20260321-132018_Chrome.jpg
    Screenshot_20260321-132018_Chrome.jpg
    120.3 KB · Views: 14

View: https://x.com/MiddleEast_24/status/2035295354774507937

Pro-Iran ni either delusional au sio critical thinkers.

Imagine Leo Tanzania.
IGP, Mafwele, vituo vyote vya Polisi, Wakuu wa Jeshi, Wakuu wa Usalama wauliwe.

There is big chance of civil war

Civil war kwa Iran kutokea ni ngumu yaani huu utawala wa Iran upo radhi uue rai wote wabaki wenyewe hawana mda na raia hivyo atakayejitokeza kwa hali ilivyo sasa atauliwa mapema sana. Labda itokee jeshi lisaliti na hilo nalo ni ngumu. Kitakachotokea ni Marekan ataachana na vita baada ya kupata kisiwa cha Kharg kisha Israel ataendelea kuuwa viongozi hadi pale atakapopatikana kiongozi ambaye atalegeza msimamo.
 
Ulijidai mbabe sana, leo umepigwa na kijana mdogo Iran aibu imekupata 😊
Ungepambana na mimi China, kilema ungekipata 🤗

Najua rais wa China Xi Jinping anaimba haka kawimbo kimyakimya huku akicheka
Hakika, Iran tu inawapa tabu

Vipi China yenye intel ya hali ya juu, hi-res satellite, radar za kila aina, air defense, ICBM, AWACS, ndege vita hadi 6th gen, jeshi kubwa la Navy duniani, manufacturing capability ya silaha na munitions plus uchumi mzuri.

Kwanza kabisa U.S MIC hawana ubavu wa kutengeneza silaha kali za mangamizi bila kuimport processed rare earth kutoka China

Na kama haitoshi defense contractors wengi wa Marekani wanaimport dual use components kutoka China
 
Ametekeleza lipi au ndio kujifariji. Si alihaidi kuifuta Israel? Mbona yeye ndio anfutwa na uongozi wake.
Kwani hizi kelele za Trump kumwambia hasipige tena vituo vya gasi unajua sababu ilikuwa nini? Haifa Oil Refinery, Banzan, kituo cha zalisha gas vyote vinebondwa ndani ya siku moja na Iran,siku moja kabla aliongea hilo. Tatizo lako unavufuatilia viclip vya social networks.Hizo nchi za Middle East zote Iran aliziambia ,wanamuhost US ,ila siku US akiigusa Iran basi Iran ataanza na wao ,kwani sasa hivi nini kimetokea. Sibishani na watu wenye mihemko ya dini hizi za Kikristo inaonekana hata Ukristo wenye huujui.
 
Back
Top Bottom