Wewe sijui upo dunia gani,we unazani Trump alipenda kuongea hivyo.
View attachment 3561046
View attachment 3561045
View: https://m.youtube.com/watch?v=Iftset8PK7g&pp=ygUnVHJ1bXAgdGVsbCBpc3JhZWwgbm8gbW9yZSBhdHRhY2tpbmcgZ2Fz
Ushike anga then ndege yako unayodai haionekani kwenye anga F-35 yenye thamani ya 100m USD ipigwe tena na bomu la 10k USD?
Ushike anga juzi Iran alipokuwa akilipa kisasi baada ya kituo chake cha gasi kupigwa alipiga sehemu tatu kwampigo Kuwait,Qatar ,Saudi na Kwa Myahudi kapiga sehemu mbili Banzan na Haifa oil refinery?
Hilo anga amelishika vipi?
Mara mnasema ameshika Navumy,haya mpaka sasa meli tatu za US Lincoln,Ford na Tulsa zimeondoka eneo la Middle East na huku Iran akiishika Hormuz, hiyo Navy nayo wameikamata vipi labda utuelezee?
Fuatilia fuatili hata vyombo vya habari,leo big news ni Iran kurusha bomu range yake 4000km+,kila chombo cha habari wanajiuliza millitary capabilities na hii tech Iran ameipataje,maana kama unauwezo wakutengeneza bomu linalo safiri km 4000,basi ni easy kutengeneza la 10000km.