Drones za Iran zinaonesha Patriot na tech nyingi za kisasa ni nothing mbele yake, sasa hivi ina maana Nchi yoyote Duniani hata kama ni masikini na Bajeti ndogo ina uwezo wa kupambana na Nchi kubwa as long as Wana drones za Iran, huoni hapo tayari imechange modern warfare strategy?
1. Marekani mwenyewe ameanza kucopy Shahed anatengeneza drones zinaitwa Lucas ambazo ni clones za Shahed kukabiliana na vita vya design hii.
2. Sudan wameweza kuwapiga waasi wanaokuwa supported na west na UAE asante Drone za Iran.
3. Ukraine Drones za Muiran nazo zilileta balaa kubwa.
So Dunia inabadilika na Iran ndio ameibadilisha, every where sasa hivi ni drones, as cheap as possible.