Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Marekani inaweza pigana na Russia au China au NK na ikabaki imara ?
Inategemea na tafsiri ya kubaki imara.
images (20).jpeg
 
Wakuu naomba kuuliza.

Je, Iran miaka yote atakaa bila uwezo wa kuua viongozi wa maadui zake Kama wanavyomfanyia???

Swali la pili. Kama Israel na marekani wanaweza kupenyeza majasusi wake Iran, je Iran anashindwa vipi kupenyeza majasusi wake Israel na marekani?

Uwezo anao, ila akifanya hivyo utashangaa dunia nzima inamlaani!
 
Huwezi kutangaza Ushindi wa vita wakati unatii masharti ya Iran. Mfano hii hapa. Sikujua kama US ni mwepesi. Na hapo Iran hajaomba msaada kwa washirika wake.
====
The US Treasury Department has issued a license for delivery and sale of Iranian crude oil and petroleum products loaded onto vessels as of March 20.
"Except as provided in paragraph (b), all transactions prohibited by the above-listed authorities that are ordinarily incident and necessary to the sale, delivery, or offloading of crude oil or petroleum products of Iranian origin loaded on any vessel, including vessels blocked under the above-listed authorities, on or before 12:01 a.m. eastern daylight time [04:01 GMT], March 20, 2026 are authorized through 12:01 a.m. eastern daylight time, April 19, 2026," says the general license issued by the Treasury Department's Office of Foreign Assets Control (OFAC).
The license does not apply to transactions involving individuals and entities associated with North Korea, Cuba, Crimea and new Russian regions.
Trump anafanya hivyo kupunguza gharama za kupanda kwa mafuta duniani, wazungu wana utu wanajali ubinadamu, tofauti na nyie kobazi ambao analipua mpaka desalination plants huko uae watu wakose maji.
 
V
Vipi kuhusu upande wa anga na majini Iran yuko vipi na suala zima la kulinda raia wake kipindi cha vita kama hizi
Kwenye maji so far ameiaibisha Manowari mbili ambazo zinasifika Dunia nzima zimekimbia, same logic kama huko juu haihitaji uwe na limeli kuubwa kupiga Meli nyengine Bali missile ama drones zinatosha kushambulia.

Kesho na keshokutwa unafkiri kuna nchi itampa order USA kununua hio midude tena?

Kwenye Anga so far Iran Hana Air defence zozote za maana ila still Ndege hazikaribii kwake Bali hupiga kwa mbali, so it's complicated, amepigwa Sana na Still ameonesha kwamba Ndege za USA sio Invisible zinapigika hata na Air defence ambazo sio kubwa, it means ADF za kisasa za Mchina ama Mrusi hizo Ndege hazikatizi.

Kabla ya Vita kuanza kuanzia mwezi wa 11 hadi wa 3 hisa za kina Lockheed Martin zinapanda, even vita vilivyoanza kila MTU alitabiri jamaa ndio wafaidika wakubwa, zilivyoanza Tu kubutuliwa hizo Ndege hisa zinaporomoka Tu sasa hivi, utamshauri nini MTU anunue Ndege ya 100M wakati inadondoshwa kirahisi vile?

Screenshot_2026-03-21-21-19-19-40_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Hisa za Lockheed angalia kuanzia march 6 Hadi Leo zilivyoshuka.

Na sio wao Tu kina Rtx, Boeing, Northrop Furman, General dynamics etc wote hisa zipo chini zinashuka.

Screenshot_2026-03-21-21-25-22-38_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


SO far USA Hana solution za kupambana na Silaha za Muiran, anaombea Tu Kutokee mpasuko Iran wapigane wenyewe, watu wengine wajiunge wamsaidie etc.

Kisehemu cha km33 kashindwa kukifungua mwezi sasa.
 
Ukraine wanazitungua hizo kwa gharama ndogo tu hadi waarabu wameomba msaada kwao
Unashindwa kuelewa Nguvu ya Shahed, sio kuzitungua, zinatungulika kirahisi Tu, Bali bei yake, wengine Wana approximate ni dola chini ya 5000. Siku ya Kwanza Tu ya Vita vimefyatuliwa zaidi ya 2000 so kwa dola milioni kama 10 Kwa siku unasababisha damage kubwa mno.

Pia Ukraine Hana uwezo wa kustop Shahed kwa Asilimia 100, ukitumiwa wimbi la drones kwa mamia Lina deplete ADF faster Tu na kufanya lililokusudiwa.

For the sake of discussion Tu assume Ukraine anaweza Ku intercept Asilimia 100 ya hizi drones na hakupiti kitu, wameweza kufanya hivyo kwa Ku adapt badala ya kutumia patriot za bei ghali wametumia na wao cheap drones interceptor za bei rahisi ina maana hii imebadili warfare strategy, so nchi ikiwa inapigana itanunua missile za bei ama itatafuta interceptor za bei rahisi?

Kama watatafuta za bei rahisi wataikumbuka Marekani? Ama wananunua solution kama hio Uturuki na Ukraine?

So far kitu pekee ambacho zinafanya watu wasinunue drones za Iran ni vikwazo walivyowekewa, ila nchi zinazouza Drones watu Wana prefer za bei rahisi that's why Mturuki anauza drones kuliko Nchi yoyote Duniani kupita even China na USA, Iran amebadili Dunia na kila MTU sasa anaenda kwenye cheap warfare, mambo ya sophiscated weapons yameumbuliwa, mwanzo walidai Ukraine hawakuwa na mafunzo that's why Wana under perform ila now mkubwa mwenyewe anaibika.
 
Trump anafanya hivyo kupunguza gharama za kupanda kwa mafuta duniani, wazungu wana utu wanajali ubinadamu, tofauti na nyie kobazi ambao analipua mpaka desalination plants huko uae watu wakose maji.
Mahaba niue, hivi unapata wapi ujasiri kusema MTU ana utu kwa kuiflat Gaza kama vile? Unapata wapi ujasiri wa kusema Wana utu baada ya kuona mafile ya Epstein?
Vituo vya yatima Dunia nzima wamevitega so watoto wachukuliwe wabakwe na wakubwa huko then wamwagiwe tindikali wapotee uso Wa Dunia, huu ndio Utu wa kina Trump na Team take ya Epstein coalition.

Iran so far hajapiga chochote ambacho yeye hajafanyiwa, hapo middle east specific ameanza kupiga kambi za jeshi Tu, kila MTU anaona na kufuatilia vita usitupige kamba.
 



Trump anafanya hivyo kupunguza gharama za kupanda kwa mafuta duniani, wazungu wana utu wanajali ubinadamu, tofauti na nyie kobazi ambao analipua mpaka desalination plants huko uae watu wakose maji.
Wewe jamaa jinga sana au udini unakusumbua. Wazungu ndio wanaongoza kwa kutengeneza ma-virus ya hatari ya maangamizi makubws kwa binadamu na masilaa ya maangamizi
 
Trump muongo muongo sana, Kiingereza sio kigumu sana, soma!

Screenshot_2026-03-21-21-58-10-67_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Ila Waajemi Wastaarabu sana, wana uwezo wa kupiga lakini hawapigi mpaka wapewe sababu.




Dimona wamepewa mkono wa Iddi!!!

Trump amejua kuyabananga!
 

⚡️❗️🇮🇷🇮🇱 Close-up footage of an Iranian ballistic missile strike in Dimona, southern Israel.

This missile is perhaps the most popular today. So many, each one better than the last.

It is reported that the missile hit a building. There are casualties.

#iran #israele
 
🇮🇷🇮🇱⚡️The arrival of an Iranian missile over the city of Dimona in Israel, near which there is a Nuclear Research Center.

The missile was attempted to be intercepted by anti-missiles at the last moment, but unsuccessfully.

It is reported that several residential buildings were damaged and 20 local residents were injured.
 
Back
Top Bottom