Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sio ndugu wala aduiChina ni ndugu au ni adui wa Iran?
Sio ndugu wala aduiChina ni ndugu au ni adui wa Iran?
Unadhani Iran angekuwa na uhusiano wa kiwango cha China na USA kisa China akaivamia Iran, USA ingereact kama China alivyoriact?Sio ndugu wala adui
Wewe una matatizo ya fulani, swala la dini na uwezo wa vita vinatoka wapi? Na aliyekuambia mimi ni mkristo ni nan? Yaani mimi nishabakie vita kidini wakati najua kabisa Iran anazidiwa pakubwa na US na Israel na anauliwa viongozi wake miaka nenda rudi lakini yeye ameshindwa fanya hivyo kwa watesi wake.Kwani hizi kelele za Trump kumwambia hasipige tena vituo vya gasi unajua sababu ilikuwa nini? Haifa Oil Refinery, Banzan, kituo cha zalisha gas vyote vinebondwa ndani ya siku moja na Iran,siku moja kabla aliongea hilo. Tatizo lako unavufuatilia viclip vya social networks.Hizo nchi za Middle East zote Iran aliziambia ,wanamuhost US ,ila siku US akiigusa Iran basi Iran ataanza na wao ,kwani sasa hivi nini kimetokea. Sibishani na watu wenye mihemko ya dini hizi za Kikristo inaonekana hata Ukristo wenye huujui.
Sawa sAwa mkuuKatika maisha yangu kamwe huwa sichagui hisia wala mapenzi yaniongoze.
Na mtu hataki kuamini hii vita myonge anaibuka mshindi siku zote sterling ni yule anaechangiliwa huku na kule, harafu anashindaIsreal mchana huu amechezea. Nimehangaika sana kuzi attach, zinachukua muda mrefu sana. Nyengine zinakataa kuwa attached sijajua tatizo ni nini?!
IRAN ameguswa shida ni Dunia nzima kwenye mafuta yamepanda bei yeye ndo. Kitovu cha mafuta kwakeWewe jamaa sijui unakwama wapi!
Iran ipo katika eneo lenye umuhimu mkubwa sana la kimkakati katika buiashara ya dunia. Ina starit of Hormuz takribani 25% ya mafuta ya dunia yanapita hapo. Iran ni kiunganishi ya Asia ya Kusini (India na Pakistan), Asia ya kati, mashariki ya kati na Ulaya ya mashariki.
Pia, ni Iran ni International North-South Transport Corridor, ambapo njia hii huunganisha India, Iran, Urusi hadi Ulaya kama mbadala wa mfereji wa Suez. Hii inafanya Iran kuwa njia ya mkato ya kibiashara.
China ina maslahi makubwa sana hapo kwa Iran.
Tangu kuanza kwa vita mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China. Hadi makombora China anampatia Iran.
China imereact jinsi gani?Unadhani Iran angekuwa na uhusiano wa kiwango cha China na USA kisa China akaivamia Iran, USA ingereact kama China alivyoriact?
Boss hujui China imefanya nini kumtetea Iran kwenye kuvamiwa kwake na USA?China imereact jinsi gani?
Sasa una bisahana mpaka ninavyo QUOTE kutoka kwenye media ,so lazima kuna sehemu unamatatizo.Wewe una matatizo ya fulani, swala la dini na uwezo wa vita vinatoka wapi? Na aliyekuambia mimi ni mkristo ni nan? Yaani mimi nishabakie vita kidini wakati najua kabisa Iran anazidiwa pakubwa na US na Israel na anauliwa viongozi wake miaka nenda rudi lakini yeye ameshindwa fanya hivyo kwa watesi wake.
Hivi wewe unaona swala la Irani kuuliwa viongozi wake waandamizi wote wa jeshi na serikali na bado wanaendelea kuuliwa unaona ni dogo na hivyo malipizi yake ni kupiga kambi za jeshi za America na majengo huko Israel? Unadhani wao hawapendi kuuwauwa viongozi wa Marekan na Israel? Ndugu usiongozwe na hisi labda kama hufahamu Electronics wafare ambayo Israel na Amerca wanaitumia. Hii ni hatri sana na wanaweza wakaangamiza viongozi wote kwa muda mfupi labda waamue kuishi maisha ya ujima tena ule ujima wa early stone age.
Nimesikia Iran wamejaribu kurusha kombora hadi Diego Garsia kilometer 4000 kutoka Iran huku uwezo unaofahamika wa iran ni kurusha makombora km 2000 tu. Moja limefeli ningine limetunguliwa.
Hii maana yake nini.