Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Jeshi la Anga la Israeli lilishambulia uongozi mkuu wa Kikosi cha Basij katikati mwa Tehran wiki hii. Katika shambulio hilo, kamanda wa kikosi hicho, Gholamreza Soleimani, pamoja na makamanda wengine kadhaa wakuu waliangamizwa.

IDF inathibitisha kwamba katika shambulio hili, Esmail Ahmadi, ambaye alihudumu kama Mkuu wa Kitengo cha Ujasusi cha Kikosi cha Basij, aliondolewa.
 

Attachments

  • IMG_20260321_033138_452.jpg
    160.5 KB · Views: 12
  • f931d37d-8d1a-4760-b43e-adc9cd7f3c9b.mov
    24 MB
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la vituo vya jeshi Qom. Milipuko mikubwa sana
 
Insanity is hearing this and thinking "oh it's the real man talking", and then seeing a live press conference of the other person and saying "Ai, he's dead", this few days made me realize one thing about the human race today, we believe what we want to believe, not what we hear or see but whatever makes us feel good and happy
 
Sri Lanka wamekataa US kutumia viwanja vyao vya ndege kuhost ndege za kivita wamechagua kuwa neutral.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Db056tdAW5gJana Iran kashambulia sehemu tano zikiwemo bandari za Myahudi,yaani hii inayo onesha maanga yote ya US Allies middle east,yamekuwa kama chujio.


View: https://m.youtube.com/watch?v=FZIThFcfsksYote tisa Jana akirusha bomu lililo safiri umbali wa km 4000+ kwenye kambi ya kijeshi ya UK (kisiwa cha Diego Garcia) ,ambayo US ameweka ndege zake B-2 anazozitumia kwenye mashambulizi, UK na US wamekuwa suprise na shambulizi hili japo mabomu matatu yalikuwa intercepted.So now kambi hiyo UK ijiandae maana ipo hatarini.


View: https://m.youtube.com/watch?v=87eBP2KgsJMHiyo haitoshi Iran Jana wameomba maelezo kuroka Germany, kwa nini ameruhusu kambi yake itumiwe na US kufanya mashambulizi naona nao wajiandae na kambi zao.


View: https://m.youtube.com/watch?v=-wfIaWdKceIKila siku Trump anatuambia kapiga kila kitu.Ila ukitizama meli zake tatu, Lincoln,Ford na Tulsa zimeondoka middle east na mpaka sasa hakipiti chochote Hormuz bila ruhusa ya Iran.
Mara aseme wamepiga vikosi vyote vya anga,Jana ndege yao ambayo wanadai wenyewe haionekani kwenye Radar,yenye thamani ya zaidi USD 100mil F-35,ilipigwa na bomu ambalo thamani yake ni 10k USD,yote tisa bomu alilolirusha Jana kwenda kambi ya UK ya Diego Garcia 4000+km aways ndio limewashtua so hizi ndege zake za B-2,zitafute eneo jingine, maana ndani ya wiki hii hiko kisiwa kitakuwa kimesambaratishwa na Sri Lanka kakataa viwanja vyake vitumike na US kwa ajili ya mashambulizi.
 
💥💥💥💥
Trump: tumeshinda, tumepiga jeshi la maji, tumepiga jeshi la anga, tumepiga kila kitu kinachohusu jeshi, wamekwisha.
Updates nyingine uwe unachuja na wewe na usitupostie watu wenye akili timamu hapa sio Twitter mzee,jitu linakwambia limeshinda halafu linawalazimisha wenzie na kuwakasirikia kabisa wakafungue Stait of Hormuz hii ina tofauti gan na muoshaji kumuogopa maiti?
 
Mh Iran kaunda lini kombora la masafa ya kilometa 4000!?
Mbona hili ni jipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…