City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kunguni huyo..Weeeh jamaa ni jinga kwelikweli!!!
Wazungu wakilipua desalination plants za Iran ni sawa, sio?
View attachment 3561182
View attachment 3561183
Wazungu wana utu wajali ubinadamu? Hauna akili, ushahidi ni huu hapa, kuwa wewe ni ZUZU!
View attachment 3561186
View attachment 3561187
Nyongeza!!!
View attachment 3561190
View attachment 3561191
Kama umeenda shule, wewe jina lako ni msomi kiladha!!!
Mpo wengi sana hapa jukwaani!
Kitu kimetua kama NyukliaView attachment 3561205
View attachment 3561204
Close up videos dimona ilivyopigwa.
Hii footage ikionesha majengo yaliyobakia
View attachment 3561207
Mungu anamajukumu Mengi ya kufanya acha kumpa jukumu lingine Lisilo na Umuhimu kwa Dunia ya keshoMungu baba!!!
Nakuomba usiku wa leo ukakae na watu wa Dimona, usiwaache peke yao baba, kawakinge, kabebe msalaba wao, wape usingizi mnono!!!
Wote tuseme...Amina!!!
View attachment 3561214
Alisikia Kiazi mmoja akisemaDuh iran hali mbaya anashambuliwa yeye tuu, marekani wangetumia busara tuu wamsamehe iran bado nchi changa sana kupiganana marekani