City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la dolat abad Tehran
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la dolat abad Tehran
Bush asingepigana kabisa, kitu cha Kwanza wakati bush anaingia Iraq alimpa Ayatollah Sistani dola milioni 100, akamuomba Shia wasiingilie, Shia wakakaa Kando, Pale Iran Shia ndio majority so ikawa Rahisi kumpiga kibaraka wao SAdam, alifanya vite viwe ni vya SAdam sio vya kidini.Trump ni mdebwedo a.k.a kubwa jinga. Hivi ingekuwa George H.W. Bush au George W Bush tungeabishwa hivi na Muajemi?
Kwa sasa tumpe tu ushindi wake huyu Muajemi maana anatupiga na vitu vizito sana kwa remote tu.
Pia mzee wa kukopi kagame asiiache hii kuna kubwa jinga lingine upande wake.
No — this specific image is not from Iran.💥💥💥💥
Assassination operation imefanyika katika moja ya jengo eneo la bahari urmia
View attachment 3561812
MTU yoyote anaetumia Iran international ni takataka Tu, hio source KAZI yao asubuhi Hadi jioni ni kufabricate habari za uongo na propaganda.No — this specific image is not from Iran.
It’s actually a stock photo taken in Toronto, Canada, showing a damaged high-rise building facade. �
Unsplash
Why it might be confusing
The damage (broken windows, hanging materials) looks similar to buildings in war or disaster zones.
Recently, there have been real images of damaged buildings in Tehran due to conflict, which look somewhat similar. �
Xinhua News
But many such dramatic images online are stock or unrelated photos reused out of context.
Conclusion
❌ Not Iran
✅ Taken in Canada (Toronto)
Likely being shared online with a misleading caption
Kwa sasa marekani ikiingia vitani na uchina itakua ni sawa mbuzi kukimbilia kwenye machinjio ya muuza supu.Unaongelea vita ya pili 1945 ambapo umaskini wa china ulikuwa hauna tofauti na Tanzania?unachekesha sana ndugu wajaribu sasa waone,nadhan hukuona parade la china mwaka jana wewe,Parade la jeshi kama lile mara ya mwisho alifanya Hitler tu.HongKong inadhibitiwa na China kiutawala kwa asilimia zote tangu 1997,Taiwan ni suala la muda tu maana China angetaka kuichukua serious angeichujua tangu zamani kama ulikuwa hujui Taiwan ikianzishwa na Chiang Kai shek ambaye alikuwa raisi wa China akapigwa na jeshi la mapinduzi la Mao Ze Dong akakimbilia Taiwan,kama Mao au waliofuatia wangetaka kummaliza kabisa Chiang kai shek wangemfuata hukohuko alipokimbilia visiwani Taiwan wakampige waichukue na Taiwan sema waliona hakuna umuhimu.China kuitaka Taiwan ni baada ya Marekani kujisogeza na kuwa na ushirikiano na Taiwan ndio maana China ameanza kuwa na adhma ya kuichukua Taiwan..Inaelekea huna unalolijua wewe!