Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mzee kwa kubadilisha gia angani yuko vizuri!!!!!

Trump backtracks on Iran ultimatum​


US President Donald Trump has said he has ordered the Department of War to postpone strikes on Iranian power plants for five days.


 
Yaani hii vita ya mashariki ya kati Inatuonyesha mengi sana...
Juzi hapa trump alisema anatoa masaa 48 kwa Iran kufungua strait of Hormuz lasihivyo atapiga miundombinu ya nishati ya Iran.
Iran ikasema ukipiga na sisi tunapiga ya Gulf state including Israel.
Nyuma kidogo Trump huyuhuyu alijitapa kuwa hakuna kiongozi wa kuzungumza nae Iran maana viongozi wote wamewaua..
Sasa Leo Trump anasema Ameiamuru department of war kutoshambulia miundombinu ya nishati ya Iran kwa siku Tano na walikuwa na mazungumzo na Iran Tena mazungumzo mazuri.
Sasa unajiuliza vile vitisho Vya masaa 48 vimeenda wapi..?, Hao viongozi wa Iran alioongea nao ni kina nani na alisema haoni kiongozi wa kuongeza nae..?

Kitaalamu ni kuwa Pentagon itakuwa wamempa picha kamili kuwa ukishambulia miundombinu ya nishati ya Iran, Kutaongeza hatari ya escalation isiyodhibitika jambo ambalo litapelekea pia masoko ya kimataifa kuwa hatarini.

Ndio maana Trump kutumia "Coercive diplomacy" yaani anatishia alafu anasikilizia "Pressure then pause"
Hii njia inaonesha wazi kuwa Marekani hakujiandaa kwa vita kamili (full scale war) ila Iran alijipanga sasa Trump anatafuta namna ya kutoka na Ili asionekane dhaifu anajaribu kutengeneza picha ya ushindi wa diplomasia.
 
Maneno ya Ehud barak

🇮🇱 Former Israeli Prime Minister Ehud Barak claims that Netanyahu is lying like a white horse about achieving the goals of the war with Iran, Hamas, and "Hezbollah"

According to him, Israel understands that it has gotten itself into a major war with the Muslim world and now does not know how to get out of it.

“Israel at the political level does not know - does not know or does not want - to put an end to the war. They do not know how to end wars. We have been in this situation for two and a half years; Hamas is still there, despite the fact that they promised us six times that we were on the verge of a 'complete victory'. Hezbollah is still there, despite the fact that they told us that we had pushed them back decades. And the Iranian nuclear program and missiles are still there, despite the fact that they assured us that he [Netanyahu] had eliminated the existential threat”, said Barak.

❗️Smart Jews are beginning to realize that not just one generation of Israelis will have to pay for the terror and genocide of neighbors, Netanyahu's excessive ambitions, and his attempts to shift public opinion from Israel's internal problems and total corruption to the fight against an external enemy. And one day, even a powerful lobby in the USA will not be able to save Israel from retribution.


Jamaa kaongelea mulemule, kutatokea genocide kubwa Sana dhidi ya Israel Hali ikiendelea hivi, sasa hivi kila wanapokwenda hawa jamaa hawapendwi, wamekua maadui wa Dunia nzima.
 
Trump:nitapiga miundo mbinu ya Iran
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel taifa Teule,Iran lazima ipigwe andiko Litimie
Trump:sitopiga miundombinu yao italked with Iran
Iran:hatujaongea na Trump
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel ikiamua inaweza piga popote Iran,🐒🐒🐒😆😫😅😃🤣
 
Kinachonishangaza ni kitu kimoja inakuwaje taifa kama marekani linakosa "Strategic incoherence" Jana unatoa vitisho Leo unaonyesha kutaka suluhu(olive branch).
Kinachoshangaza zaidi Iran haijasema popote inataka mazungumzo Kuna namna hapa mtu anataka kukimbia vita ambayo ilishaanza kuwa mbaya kwa upande wake...
Kitendo alichofanya Trump kinafanya aonekane kuwa...
Hana misimamo na anayumbishwa na pressure za adui
Kimataifa na hasa hapo mashariki ya kati Iran amejijengea title kuwa " Ni taifa lisiloyumbishwa na adui" hii kisaikolojia Iran kashinda na kama kweli wakikaa kwenye meza ya mazungumzo basi mwenye nguvu kwenye mazungumzo hayo atakuwa Iran.
Hapa ndio tunamkumbuka Sun Tzu kwenye art of war ...
"He who exercises no forethought but makes light of his opponents is sure to be captured by them" (Yeyote anayeshindwa kutanguliza mipango na kuwadharau wapinzani wake, ni hakika wataweza kumshinda na kumnasa")

Kutopanga + kumdharau adui = kushindwa.
 
Kuna watu humu walikuwa wanaidharau Iran kisa anga lake limetawaliwa na ndege za kivita za Israel na Marekani, ila Iran kaonyesha yeye dominance yake haitokani na ndege wala vifaru, bali vitufe na Israel inateketea uko. Kwa sasa anga la Israel limebaki kama tenga la nyanya kutekea maji.
 
Ukiangalia safu ya viongozi wa Iran dhidi ya safu ya uongozi wa Israel-USA tangu kuanza kwa hii vita, unapata picha kwamba Wairan ni watu smart na humble sana kuliko mabepari wa USA. Hata uelekeo wa hii vita vinatoa picha kwamba Israel yuko mbioni kuomba pooh!
 
Back
Top Bottom