Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Ndio michezo yao hiyo sasa nao wawe tayari kukinywa kikombe hicho Iran akikigeuza kwao bila malalamiko ya antisemitismHawa jamaa wakianza hivyo ni hatari
Ndio michezo yao hiyo sasa nao wawe tayari kukinywa kikombe hicho Iran akikigeuza kwao bila malalamiko ya antisemitismHawa jamaa wakianza hivyo ni hatari
Ndio aichukue sasa, me msimamo wangu ni vita sio maneno au silaha zilizpo stoo na kwenye maonyesho ni kwenye mapambano, na hadi sasa masupapower wa vita wa muda mrefu na wana vita na henya licha ya silaha zao na uzoefu wa vita za kutoshaUnaongelea vita ya pili 1945 ambapo umaskini wa china ulikuwa hauna tofauti na Tanzania?unachekesha sana ndugu wajaribu sasa waone,nadhan hukuona parade la china mwaka jana wewe,Parade la jeshi kama lile mara ya mwisho alifanya Hitler tu.HongKong inadhibitiwa na China kiutawala kwa asilimia zote tangu 1997,Taiwan ni suala la muda tu maana China angetaka kuichukua serious angeichujua tangu zamani kama ulikuwa hujui Taiwan ikianzishwa na Chiang Kai shek ambaye alikuwa raisi wa China akapigwa na jeshi la mapinduzi la Mao Ze Dong akakimbilia Taiwan,kama Mao au waliofuatia wangetaka kummaliza kabisa Chiang kai shek wangemfuata hukohuko alipokimbilia visiwani Taiwan wakampige waichukue na Taiwan sema waliona hakuna umuhimu.China kuitaka Taiwan ni baada ya Marekani kujisogeza na kuwa na ushirikiano na Taiwan ndio maana China ameanza kuwa na adhma ya kuichukua Taiwan..Inaelekea huna unalolijua wewe!
Kunishurutisha kwako kutaja hakuwezi kunilazimisha kufanya hivyo. Makamanda niliwataja nakusisitiza PITIA UZI.Nasubiri majina ya makamanda waliouwawa na Hezbollah ili tuendelee na mjadala. Basi nakupa benefit, achana na wote taja mmoja.
Ayatollah Kisha surrender, game over 😁Aljazeera reports;
-Trumps postpones millitary strikes on Iran power plant for five days amid the closure of Hormuz.
Si alitishia huyu anatoa masaa 48? Wahuni wakamwambia tunapiga powerplant za gulf nzima hadi Israel pia iwe gizani.
😂😂😂😂naona kanywea.
Aah wapi Iran imemtisha kulipua desalination plant ya gulf nzima na power plant ya gulf nzima ikiwemo ya Israel. Naona ame back down.
We endelea kubwabwaja hapo Nantumbo ilhali IRGC hivi sasa wanapeleka jeshi la watu laki sita kule Hormuz. Wanaenda kujimilikisha Hormuz.Ayatollah Kisha surrender, game over 😁
wabongo bwana.We endelea kubwabwaja hapo Nantumbo ilhali IRGC hivi sasa wanapeleka jeshi la watu laki sita kule Hormuz. Wanaenda kujimilikisha Hormuz.
Unaona hiyo taarifa imetolewa na Ayyatollah?! Lengo la vita ilikuwa ni majadiliano?kwasababu wakat hii vita inaanza tayari kulishakuwa na majadiliano baina ya oande mbili wakiwa wanaendelea na majadiliano US na Israel wakaanzisha mashambulizi means majadiliano haikuwa Agenda ya USA na Israel kwa kupindi hiki Iran akitakiwa ashikishwe adabu kwa nguvu..Leo kibao kimegeuka Wanarudi tena kwenye majadiliano yaliyoshindwa mwanzo!😃😃Huoni kama wewe,Trumo na Netanyahu akili hamna?Ayatollah Kisha surrender, game over 😁
Huyo hawezi kuleta iyo HABARI....
Hivi huyu mzee haonagi aibu.Oyaaaah!
Mzee anataka kutupa taulo!!!
UNCONDITIONAL SURRENDER imefikia wapi!?
Trump alifikiri anadeal na latinas, wazee wa big booty!!!
Unawapiga mkwara watu ambao wanakula vita kama ubwabwa!
Kiko wapi?
View attachment 3561682
Iran washakataa hawajazungumza na Trump, mapambano wanaendelea.Oyaaaah!
Mzee anataka kutupa taulo!!!
UNCONDITIONAL SURRENDER imefikia wapi!?
Trump alifikiri anadeal na latinas, wazee wa big booty!!!
Unawapiga mkwara watu ambao wanakula vita kama ubwabwa!
Kiko wapi?
View attachment 3561682