City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la nabonyad
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la nabonyad
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mehrshahr
China imetoa msaada wa solarMwamba Putin ashapeleka mafuta Cuba tuone US atamfanyaje
Mbabe ni mbabe tuu
Nimepost humu kila mtu alisoma majina. Pia usiruke mada,ulidai kuwa Hizbollah haiwezi kufanya kitu iko obliterated ilhali inashambulia Galilaya na kuna internal displacement.Taja hao makamanda waandamizi saba wa Israel waliouwawa na Hezbollah, nikutajie makamanda wote wa juu wa Hezbollah waliouwawa na Israel tangu ile October. Kwa sasa Hezbollah haina kamanda aliyepo madarakani kwa miaka miwili, wote ni wapya na wanazidi kuuwawa.
Huna akilimlokole mavi wewe kuelewa kinachoelea kwako ni vigumu kama kushauri mtu anaeenda kutapeliwa
Endelea kujifurahisha ww zezeta!! Akili zako kuhusu vita ni sifuri! Iran yupo kwenye siku zake za mwisho!Kambi za jeshi kwisha habari
Halafu mwisho unasema wanarusha vikombora!!
Hivo vikombora wanarusha kina nani?
Mambo mengine hayahitaji hata sample za damu au stool au urine kupima Afya ya akili ya mtu namna tu anavoandika unajua yuko katika hali gani.
😀😀Hii wanashambulia hapa kila siku au makombora yanauwezo mdogo wa kuleta madhara. Maana hii ni karibu mara ya kumi wanashambulia hapohapo
🤣Malengo yaliyotarajiwa na Marekani katika vita hivi:
1- Kuiangusha Serikali ya Iran = Limefeli
2- Kuchochea Wananchi kuiasi serikali yao = Limefeli
3- Trump Kumchagua kiongozi anayemtaka = Limefeli pia!
4- Kuharibu mpango wa nyuklia wa Iran = Limefeli
5- Kuharibu makombora ya masafa marefu= Limefeli
6- Kudhoofisha nguvu ya jeshi la Iran = Limefeli!
Lakini bado kuna mtu atakuambia Marekani imeshinda vita!
😂😂😂
😄😁😁😁 akili za trump haikufaa hata kua mjumbe wa nzega
Wana take notes 😀PLA wako Central Military Commission hii ni joint operation command center wanaicheki vita vya Iran huku wakikazia kwa uangalifu weaknesses za Mmarekani
🤣🤣🤣🤣Sio Iron Dome, Patriot wala THAAD yenye ubavu wa kuzuia missiles za Mwajemi kulenga targets zake iwe ni Israel, au nchi yoyote ukanda wa GCC
Kamanda wa IRGC anakwambia Iran bado wanatumia stock ya zamani ya missiles zao, hawajagusa mzigo wa modern missiles zenye sophstiscated tech
Safari hii Marekani kadandia mtumbwi wa vibwengo
Hahaha mnanipigia spana hao misukule mpaka Uzi wanauona wa motoKambi za jeshi kwisha habari
Halafu mwisho unasema wanarusha vikombora!!
Hivo vikombora wanarusha kina nani?
Mambo mengine hayahitaji hata sample za damu au stool au urine kupima Afya ya akili ya mtu namna tu anavoandika unajua yuko katika hali gani.
USA ni Cancer ya huu ulimwengu Hilo ndio Taifa linalo paswa kufutwa first , kwanini wasimchangie wambondeChina imetoa msaada wa solar
Cuba sasa inazalisha 900MW kutoka solar sources
Hiyo imekidhi theluthi moja ya umeme Cuba
Na bado China inaendelea kushusha mzigo wa solar all across the Island
Plus na mafuta kutoka Russia angalau sasa Cuba itaweza kuzalisha umeme wa kutosha
Marekani iliweka embargo ili wananchi wa Cuba wateseke na wameteseka kweli
Hospitalini watu wamekufa sana kwa sababu ya kukosa umeme na shughuli nyingi za kiuchumi zilisimama
Mungu ana makusudi yake kuzifanya Russia na China ziwepo duniani tungeteseka sana na huu ushetani wa Marekani
Usifurahie Iran kupiga facility za nyukilia za israel.Makazi ya Raia Dimona? Humo ni wanajeshi na facilities za Nyuklia, na Iran ni mstaarabu anajua akipiga Nyuklia yao wataathirika Hadi Wapalestina, Jana iliopigwa ni facility ya research za Nyuklia, pamoja na makazi ya hao wanajeshi/wanasayansi.
Hilo ndio Eneo linalindwa zaidi hapo, Raia wa kawaida hawezi Tia pua yake hapo.