Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kuanzisha vita usiyoweza kuimaliza si akili. Ni matope.Akili hizo ww!! Vita ni gharama! allies wapo ili ushirikiano uwepo!!! Iran kabla ya vita uchumi ulikuwa Hoi! Sasa sikilizia baada ya hii vita Watakuwa wamerudi miaka 50 nyuma.
Allies gani unaowazungumzia wewe? Hawa ambao Trump anawaita cowards? Hawa hawa ambao Trump anatishia kuwavamia?