City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la damavand Tehran
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la damavand Tehran
Mbona peupe sana!?💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi Isfahan
View attachment 3561411
Nadhani una miss strategy vs maendeleo ya kijeshi.Drones za Iran zinaonesha Patriot na tech nyingi za kisasa ni nothing mbele yake, sasa hivi ina maana Nchi yoyote Duniani hata kama ni masikini na Bajeti ndogo ina uwezo wa kupambana na Nchi kubwa as long as Wana drones za Iran, huoni hapo tayari imechange modern warfare strategy?
1. Marekani mwenyewe ameanza kucopy Shahed anatengeneza drones zinaitwa Lucas ambazo ni clones za Shahed kukabiliana na vita vya design hii.
2. Sudan wameweza kuwapiga waasi wanaokuwa supported na west na UAE asante Drone za Iran.
3. Ukraine Drones za Muiran nazo zilileta balaa kubwa.
So Dunia inabadilika na Iran ndio ameibadilisha, every where sasa hivi ni drones, as cheap as possible.
Mlokole mavi Yule pumbavu kabisa na viemoji vyake vya milipuko mikubwaPropaganda promax
Wewe angalia tu humu jamvini kuna mtu kila saa anapost israel anashambulia sehem fulani lakini kuna Dimona sijui njugu zimeshushwa huko haandiki..
Ikitokea baadae miaka kadhaa mtoto akisoma ataona israel ilikuwa inashambulia tu haikushambuliwa.
Ndo mfano wa Hitler sasa.
Tuliambiwa amekufa kumbe bado yupo hai, lete updates mkuu huu uzi wote hapa wanakutegemea wewe ndio mwenye vyanzo vya uhakika💥💥💥💥
Netanyahu ametembelea eneo la arad ambapo Jana lilishambuliwa kwa makombora na Iran
View attachment 3561410
Acha utani alasiri hii hii!?IRGC hivi punde imetuma wimbi la 74 la operation Promise 4 la vimondo vingine kuelekea Israel, mkisikia mguno jua vimeshampopa mtu.
Apigwe dhalimu apigwe, apigweeeee
Tatizo Cristian wa uko waoga sana American sawa na wa Africa au Ulaya Magharibi laini laini sana kufa waoga sana..!!!Venezuela walizingua sana
Achana na ile jamii ya Ulaya Mashariki ni ya kipekee mzee.Tatizo Cristian wa uko waoga sana American sawa na wa Africa au Ulaya Magharibi laini laini sana kufa waoga sana..!!!
Cristian wa Ulaya Mashariki ndio ngangari sana.kama uko Russia Ukraine Belarusian Nk.
Underground sitesMbona peupe sana!?
Au ndio kusema wamepiga mlango wa handaki?
Sio walizingua yule raisi walikuwa hawamtaki maisha walikuwa choka mbaya saivi afadhali, ni sawa akienda ivamia Cuba ambayo saivi hata umeme ni tatizo unahisi atatumia nguvu kubwa!!Tatizo Cristian wa uko waoga sana American sawa na wa Africa au Ulaya Magharibi laini laini sana kufa waoga sana..!!!
Cristian wa Ulaya Mashariki ndio ngangari sana.kama uko Russia Ukraine Belarusian Nk.