hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😀
Wamesusa uzi kwa muda!
Wanasubiri masaa 48 aliyotoa Trumpet yaishe!!!
Wamesusa uzi kwa muda!
Wanasubiri masaa 48 aliyotoa Trumpet yaishe!!!
Sio wanaongeza idadi ya vifo kwanza wanaficha ndio maana unaona idadi ya vifo kama imeganda hivi, acha kutulisha Matango pori, hizi habari hufatilii pekeako hata akiuawa kiongozi mkubwa bila Israel kusema Iran anajizima data anakuja kama kuconform tu... Shirika la new agency linasema wananchi waliokwisha uawa ni zaidi ya 3k na wanajeshi zaidi ya 5k hiyo inakuwa mara mbili kupita hata red crescent Iran hawana hata shelters na muyahudi kutwa anashambulia acha kujifariji Israel raia hawajafa wengi kama Iran na kama ingekuwa hivyo basi wangeshaomba ceasefire mapema, hadi saivi muajemi kazima internet wiki ya 4 hii taarifa zisitoke Al Jazeera anazitoa et wanatishia kumshambulia
Leo kweli kobazi mmetembeza kichapo hivo ndio inatakiwa sio kila siku Mayahudi wanawatembezea nyie tu.
Sasa subirini majibu ya muyahudi msikimbie uzi.
Picha ya Garcia1. Muda mfupi uliopita Iran imeshusha F-15 katika anga la Hormuz
2. Sattelite ya Wachina imeonyesha makombora yalitua Diego Garcia na kuleta uharibifu
1. Muda mfupi uliopita Iran imeshusha F-15 katika anga la Hormuz
2. Sattelite ya Wachina imeonyesha makombora yalitua Diego Garcia na kuleta uharibifu
Apigweee💥💥💥💥💥 Apigweeee💥💥💥💥 Apigweeee💥💥💥💥💥💥💥IRGC hivi punde imetuma wimbi la 74 la operation Promise 4 la vimondo vingine kuelekea Israel, mkisikia mguno jua vimeshampopa mtu.
Apigwe dhalimu apigwe, apigweeeee
Nakazia wasikimbie.Leo kweli kobazi mmetembeza kichapo hivo ndio inatakiwa sio kila siku Mayahudi wanawatembezea nyie tu.
Sasa subirini majibu ya muyahudi msikimbie uzi.
Mara zote majibu ya myahudi huwa ni mabaya sana hadi umoja wa mataifa huwa unatoa matamko.Leo kweli kobazi mmetembeza kichapo hivo ndio inatakiwa sio kila siku Mayahudi wanawatembezea nyie tu.
Sasa subirini majibu ya muyahudi msikimbie uzi.