Kamwe hawezi post jambo la zayuni kupigwa kamwe akipost nitagMkuu mbona kimya hakuna Update lete lete vitu🤠🤠🥳
Kwahiyo zayuni alivopiga ile shule ya watoto ilikuwa sawa?Iran kapiga makazi ya raia mnachekelea baadae mzayuni akiwashe kwenye hospitali zenu muanze kuomba huruma, na mnajua mzayuni mwenyewe akili zake haziko sawa😎
😁wanaotaka Samia apelekwe ICC kwa mauaji ya October 29,wakati huo huo Netanyau mwenye warrant arrest ya ICC wanamshangilia kama shujaa😁😁😆🙃😅🤣
Kumbe wabongo hutujui eeh!wanaotaka Samia apelekwe ICC kwa mauaji ya October 29,wakati huo huo Netanyau mwenye warrant arrest ya ICC wanamshangilia kama shujaa😁😁😆🙃😅🤣
Iran kapiga makazi ya raia mnachekelea baadae mzayuni akiwashe kwenye hospitali zenu muanze kuomba huruma, na mnajua mzayuni mwenyewe akili zake haziko sawa😎
Hhhhh hawa jamaa ni majeuri kikamilifuAljazeera reports.
-Iran claims that they do not have surplus crude oil to provide for international oil market. This came after US treasury announced to lift up oil sanctions on Iran.
Wamegoma kuuza wese kwa agizo la Marekani.
Vidume haoHhhhh hawa jamaa ni majeuri kikamilifu
😁😁😁🤸Sio kwa Iranian kumbuka Iranian sio Waraabu!!!!
wakiweza wapige raia Iranian ndio wahuni kikamilifu!!
tukujuze tu kwa Iranian pengine number ya Vifo vya raia wanaiyongeza 🤠🤠
Ukiwauwa 50 watakwambia 170 lengo wakianza kuwauwa raia wako iyonekane Vifo kwao wao ndio Vingi zaidi!!! Kukwepa mambo ya Kisheria ❗️
kwa Iran m'medandia mgongo wa Ngiri. Ukikmbia nchale ukichimama nchale🤠🤠
🤣Aljazeera reports.
-Iran claims that they do not have surplus crude oil to provide for international oil market. This came after US treasury announced to lift up oil sanctions on Iran.
Wamegoma kuuza wese kwa agizo la Marekani.
Jamaa ni mageniusHhhhh hawa jamaa ni majeuri kikamilifu
Kwenye post 25 mbili tu za Iran!!!Kamwe hawezi post jambo la zayuni kupigwa kamwe akipost nitag
Makazi ya Raia Dimona? Humo ni wanajeshi na facilities za Nyuklia, na Iran ni mstaarabu anajua akipiga Nyuklia yao wataathirika Hadi Wapalestina, Jana iliopigwa ni facility ya research za Nyuklia, pamoja na makazi ya hao wanajeshi/wanasayansi.Iran kapiga makazi ya raia mnachekelea baadae mzayuni akiwashe kwenye hospitali zenu muanze kuomba huruma, na mnajua mzayuni mwenyewe akili zake haziko sawa😎
So wana science wa nuke Wameliwa vichwa !? 😄Makazi ya Raia Dimona? Humo ni wanajeshi na facilities za Nyuklia, na Iran ni mstaarabu anajua akipiga Nyuklia yao wataathirika Hadi Wapalestina, Jana iliopigwa ni facility ya research za Nyuklia, pamoja na makazi ya hao wanajeshi/wanasayansi.
Hilo ndio Eneo linalindwa zaidi hapo, Raia wa kawaida hawezi Tia pua yake hapo.
Sio wanaongeza idadi ya vifo kwanza wanaficha ndio maana unaona idadi ya vifo kama imeganda hivi, acha kutulisha Matango pori, hizi habari hufatilii pekeako hata akiuawa kiongozi mkubwa bila Israel kusema Iran anajizima data anakuja kama kuconform tu... Shirika la new agency linasema wananchi waliokwisha uawa ni zaidi ya 3k na wanajeshi zaidi ya 5k hiyo inakuwa mara mbili kupita hata red crescent Iran hawana hata shelters na muyahudi kutwa anashambulia acha kujifariji Israel raia hawajafa wengi kama Iran na kama ingekuwa hivyo basi wangeshaomba ceasefire mapema, hadi saivi muajemi kazima internet wiki ya 4 hii taarifa zisitoke Al Jazeera anazitoa et wanatishia kumshambuliaSio kwa Iranian kumbuka Iranian sio Waraabu!!!!
wakiweza wapige raia Iranian ndio wahuni kikamilifu!!
tukujuze tu kwa Iranian pengine number ya Vifo vya raia wanaiyongeza 🤠🤠
Ukiwauwa 50 watakwambia 170 lengo wakianza kuwauwa raia wako iyonekane Vifo kwao wao ndio Vingi zaidi!!! Kukwepa mambo ya Kisheria ❗️
kwa Iran m'medandia mgongo wa Ngiri. Ukikmbia nchale ukichimama nchale🤠🤠
Yap chini ya Lisaa limoja tayari kuna waokoaji 1300 ujue Hali teteSo wana science wa nuke Wameliwa vichwa !? 😄