baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Iran kamuingiza CNN Hadi missile city, data za USA, Uturuki na Iran wenyewe zote ni almost same kuhusu Idadi ya vifo.Sio wanaongeza idadi ya vifo kwanza wanaficha ndio maana unaona idadi ya vifo kama imeganda hivi, acha kutulisha Matango pori, hizi habari hufatilii pekeako hata akiuawa kiongozi mkubwa bila Israel kusema Iran anajizima data anakuja kama kuconform tu... Shirika la new agency linasema wananchi waliokwisha uawa ni zaidi ya 3k na wanajeshi zaidi ya 5k hiyo inakuwa mara mbili kupita hata red crescent Iran hawana hata shelters na muyahudi kutwa anashambulia acha kujifariji Israel raia hawajafa wengi kama Iran na kama ingekuwa hivyo basi wangeshaomba ceasefire mapema, hadi saivi muajemi kazima internet wiki ya 4 hii taarifa zisitoke Al Jazeera anazitoa et wanatishia kumshambulia
Sio Tu Iran wanatoa Idadi ya vifo Bali majina, picha, KAZI zao, walipokufa etc kuna uwazi wa Hali ya juu.