Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kipigo alichotoa Iran jana ni kipigo cha "Lukaya". Haka ka nchi kanakajojifanya kababe sasa kamekutana na mbabe mstaarabu aliyeamua kutoa discipline ili kaache kusumbua. Anakapeleka moto ni hatari.
Iran walisema tunataka tutoe fundisho ili next time watakao jaribu kucheza na sisi waogope Kila watakapo tusikia ndio maana hawataki ku- ceasefire
 
Popote pale panapo myahudi chokochoko lazima ziwepo mna waytahudi ni watu wakupenda shari tuuu

Kwaio kama anapigwa apigwe kweli kweli na msikibali surrender yake hakika ni muongo mpigeni mpaka amalizike haswaaa
Naam 🔨
 
Trump anakwambia wamekamata anga,ndege yao F-35 (USD 100m) wanayodai haionekani kwenye Radar imetunguliwa na bomu la 10k USD na leo hii ndege ya Myahudi F-16 imetunguliwa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=IfAMvAO4irs
Kuna mtu mzima anaenda kurusha taulo.Iran ameziambia nchi za West Asia,endapo vituo vya vya nishati vikipigwa na US,bas atavipiga vituo vya nishati ambavyo US ana hisa huko West Asia.

View: https://m.youtube.com/watch?v=BzBknAunEfM&pp=0gcJCcUKAYcqIYzv

Aiseee !
 
Nachofurahi ni kwamba watu now days wamefunguka wanaujua ukweli kuwa tulidanganywa sana
 

Attachments

  • Screenshot_20260322-075114.jpg
    Screenshot_20260322-075114.jpg
    124 KB · Views: 20
Nachofurahi ni kwamba watu now days wamefunguka wanaujua ukweli kuwa tulidanganywa sana
Comment za waja Toka YouTube,

Watu wanaonyesha kuutambua ukweli ila humu tu ndio bado Kuna misukule 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260322-074404.jpg
    Screenshot_20260322-074404.jpg
    87.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260322-074511.jpg
    Screenshot_20260322-074511.jpg
    114.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260322-074447.jpg
    Screenshot_20260322-074447.jpg
    103 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260322-074550.jpg
    Screenshot_20260322-074550.jpg
    98.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20260322-074531.jpg
    Screenshot_20260322-074531.jpg
    104.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260322-074625.jpg
    Screenshot_20260322-074625.jpg
    102.3 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260322-074606.jpg
    Screenshot_20260322-074606.jpg
    93.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260322-074722.jpg
    Screenshot_20260322-074722.jpg
    103.4 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260322-074650.jpg
    Screenshot_20260322-074650.jpg
    100.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260322-074824.jpg
    Screenshot_20260322-074824.jpg
    103 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260322-074753.jpg
    Screenshot_20260322-074753.jpg
    108.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20260322-075114.jpg
    Screenshot_20260322-075114.jpg
    124 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260322-075044.jpg
    Screenshot_20260322-075044.jpg
    112.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260322-075017.jpg
    Screenshot_20260322-075017.jpg
    118.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260322-074941.jpg
    Screenshot_20260322-074941.jpg
    121 KB · Views: 21
  • Screenshot_20260322-074425.jpg
    Screenshot_20260322-074425.jpg
    114.7 KB · Views: 16
Kumbe Hitler pengine Hakuwa mbaya kama historia yake
History huandikwa na washindi hata kama wao ndio washenzi hawawezi kujitaja sana sana watajisifia tu na kuwataja wapnzani wao kuwa ni wakatili kumbe makatili ni wao

Ni kama namna ambavyo pharaoh alivyo zungumzwa katika dini ule wote ni uongo mtupu , ni kama jinsi ambavyo tulivyo kuwa tuna danganywa na Nyerere mashuleni Tulikuwa tuna muimba iddy amini kuwa anakula nyama za watu 🤣🤣

Power of propaganda
 
Walokole mjiandae kumzika Mungu wenu zayuni.siku zake zinafikia ukingoni kwenye Week 2 au 3 🤠

mana wenyewe waoga hatari wakiona tu mambo magumu kila mmoja nanjia yake!!!!!
Israel akiona mambo yamekuwa magumu atakimbilia UN kuomba msaada. Atakuwa akiishurutisha UN imkataze Iran ili Israel isiendelee kubondwa.
Sababu wamefanya jinai kubwa kwa wenyeji sasa wanaogopa kulipiziwa !!!

Ni mbio tu ndio chaguo lao!!
Kuanzisha vita wanaweza vizuri lakini kuvimaliza ndiyo shida.
 
Kumbe Hitler pengine Hakuwa mbaya kama historia yake
Propaganda promax
Wewe angalia tu humu jamvini kuna mtu kila saa anapost israel anashambulia sehem fulani lakini kuna Dimona sijui njugu zimeshushwa huko haandiki..
Ikitokea baadae miaka kadhaa mtoto akisoma ataona israel ilikuwa inashambulia tu haikushambuliwa.
Ndo mfano wa Hitler sasa.
 
Back
Top Bottom