Picha wanafuta🤣🤣
Kuwa mwelewa usikaze fuvu, nimesema inawezekana ila sio kirahisi kabda karne hii ya 21 ipite.. kuhusu warumi bado wapo ndio hao wakatoliki(Roman Catholic) na bado wana nguvu na wanakuta wala indirect dola ambayo ilianguka na haina alama hadi sasa ni hao waajemi wenu walianguka mwanguko mbaya sanaZimeanguka dola ngapi au husomi ww? Us kwani ndo Mungu ? DOLA YA WARUMI iko wapi leo? Embu sema kiko wapi?
Ngoja tuone After Ramadhani maana walisema wamo kwenye mfungo..Iranian wanajua kushusha kipondooo. Sio poaa🤠
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la chabahar
😄Nasikia hapo kuna majeruhi mmoja tena ni dogo alikua katumwa kununua pilipili manga ya sikukuu dukani 🙃🙃 ila myahudi
Tuishie kusema hujui historiaKuwa mwelewa usikaze fuvu, nimesema inawezekana ila sio kirahisi kabda karne hii ya 21 ipite.. kuhusu warumi bado wapo ndio hao wakatoliki(Roman Catholic) na bado wana nguvu na wanakuta wala indirect dola ambayo ilianguka na haina alama hadi sasa ni hao waajemi wenu walianguka mwanguko mbaya sana
😁😁😁God Bless Iran. ma,ma,e
Ucha ufala Irani sio Gaza. Ukipiga raia na sisi tunapiga raia, ukupiga hospital nasisi tunapiga hospital. Tit for tat na Israeli analijua hilo ndio maana amekuwa na nidhamu ya uwogaIran kapiga makazi ya raia mnachekelea baadae mzayuni akiwashe kwenye hospitali zenu muanze kuomba huruma, na mnajua mzayuni mwenyewe akili zake haziko sawa😎
Kumbe kipindi chote kile walikuwa rehearsal 🙌🙌🤣🤣Ngoja tuone Af
Ngoja tuone After Ramadhani maana walisema wamo kwenye mfungo..
Yote na yote vita si vizuri haijalishi ni vya kiuchumi au kiimani maana wanaumia viumbe vingine...
Lakini kwanini kila vita duniani mpaka kuwe na israel na USA?
🤣Mkuu mbona kimya hakuna Update lete lete vitu🤠🤠🥳