Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Dunia ifikirie kuachana na US atengwe kuliko Ukoma
Umtenge na hapa ulipo unatumia teknolojia yake unahisi ni rahisi kihivyo, au ni vile mkishiba magimbi unatype tu unachojisikia.... USA tu katoka WHO vilio ni vingi hadi sasa ARVs tu kupatikana limeanza kuwa tatizo... Itachukua labda karne kuondoa mchango wa USA kwenye dunia na hata asiposhiriki kwa chochote impact yake isionekane
 
History huandikwa na washindi hata kama wao ndio washenzi hawawezi kujitaja sana sana watajisifia tu na kuwataja wapenzi wao kuwa ni wakatili kumbe makatili ni wao

Power of propaganda
Pia definition ya ushindi na Aina za ushindi huandikwa na anayejiona anastahili ushindi.
Trump, mathalani, mwanzoni mwa machi (tangu vita hii ianze February 2026) alijaribu kutaka kuandika definition ya ushindi anayoijua yeye. Akaainisha maeneo waliyoshinda, ambayo ni: (1) ushindi dhidi ya anga la iran (2) ushindi dhidi ya jeshi la majini (3) ushindi dhidi ya viongozi WA Iran walioitwa magaidi-"tumewaua wote", (4) ushindi dhidi ya kambi zote za jeshi za Iran (5) ushindi dhidi ya arsenal facilities zote za Iran (6) ushindi dhidi ya mifumo yote ya ulinzi ya Iran, (7) n.k
Kitabu alichokuwa anataka kukiandika Trump, kabla ya ya vita kuisha, tayari kimebuma, hakiuziki sokoni. Wanadunia wanambeza na definition ya ushindi aliyotaka kuiandika, wanadunia wanambeza Aina ya ushindi aliokuwa akiuelezea.

Trump alisema Iran imedhoofika kwa 100%, lakini straight of harmouz imemshinda na sasa anadai dunia yote inapaswa kushiriki kukomboa eneo Hilo. Alisema sasa Iran hana hata uwezo WA kurusha jiwe kuelekea Israel, lakini kila siku tunaona vyuma vinashuka kuelekea si tu Israel Bali pia nchi zote za ghuba. Israel sasa hivi kila siku na yenyewe inalalamika juu ya uharibifu anoufanya Iran nchini Israel.

Kwa hiyo, wakati mwingine historia Huwa inaandikwa kwa lengo la upotoshaji ili kumfeva Yule anayejiona ndiyé mbabe. Trump anabahati mbaya Sana kipindi hiki wanadamu wamechangamka kiakili, hawadanganywi hovyo.
 
Naam uko sahihi kabisa

Tatizo ni internet Mjomba mambo yote hadharani
 
Popote pale panapo myahudi chokochoko lazima ziwepo mna waytahudi ni watu wakupenda shari tuuu

Kwaio kama anapigwa apigwe kweli kweli na msikibali surrender yake hakika ni muongo mpigeni mpaka amalizike haswaaa

Kwasasa kashanasa kwa wahuni njia zote za Ceasefire zimefungwa kufuri 🔓🔓🔓🔓🔓🔓 na fungua wahuni wametupa ni kipondoo tuuu💥💥💥💥💥💥💥💥
 
Propaganda promax
Wewe angalia tu humu jamvini kuna mtu kila saa anapost israel anashambulia sehem fulani lakini kuna Dimona sijui njugu zimeshushwa huko haandiki..
Ikitokea baadae miaka kadhaa mtoto akisoma ataona israel ilikuwa inashambulia tu haikushambuliwa.
Ndo mfano wa Hitler sasa.
Naam 🔨
 
Umtenge na hapa ulipo unatumia teknolojia yake unahisi ni rahisi kihivyo, au ni vile mkishiba magimbi unatype tu unachojisikia.... USA tu katoka WHO vilio ni vingi hadi sasa ARVs tu kupatikana limeanza kuwa tatizo... Itachukua labda karne kuondoa mchango wa USA kwenye dunia na hata asiposhiriki kwa chochote impact yake isionekane
Zimeanguka dola ngapi au husomi ww? Us kwani ndo Mungu ? DOLA YA WARUMI iko wapi leo? Embu sema kiko wapi?
 
Wahuni wamefungulia sasa moto unapelekwa haswa

Vivaa vivaaa twangaaa wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

huu mwaka 2026 tunaenda kuoa bureeee Vibint vya kizayuni 🧚‍♀️🏃‍♀️👯‍♀️

Echolima1 jiandae kunita SHEMEJI

Vibint uwaga kwetu havina zambi

Vitatuzalia upya kina Muhamed Dief nk.
 
Hiki pigo lilikuwa Babu J kweli kweli

JUST IN: 🇮🇱🇮🇷 Israeli rescue teams are still searching for people trapped under rubble in Arad after Iranian missile strikes.
20260322_093931.jpg
20260322_093934.jpg
20260322_093936.jpg
 
Back
Top Bottom