Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hata usitaje kama wangekuwepo kazi zao zingewataja mbona nchi kama USA, India au china tunawaona hata bila kutaja
Muiran kawapeleka USA Mars, hao Wairan ndio Ethnicity yenye Elimu kushinda Ethnicity zote hapo USA, ndio Maprofesa na malecture wakubwa etc.

Ukija Iran Wana wanasayansi kibao Wana rank top 10 Hadi no 1 Duniani kwenye Sub field zao, we unafkiri kwanini Wana uwezo wa kutengeneza Drone ya $5000 ikapambana na Silaha zinazocost mara 1000 ama zaidi? Tofauti na kuwa na vichwa?

Iran ipo top 3 kwenye Nchi zinazozalisha Maengineer na Stem students kwa mwaka, kila kitu wanatengeneza wenyewe kwao mpaka Hizo Engine za Shahed. To the point Hadi Mrusi sasa hivi anatumia Technology ya Muiran kuunda hizo shahed.

Vyote hivyo wakiwa wamewekewa vikwazo miaka 50 sasa.
 
What you call illusions are the true facts which you have decided deliberately to deny them.
Can't you see majority of audience critisizes you!?
Try to be logic and reasonable.
Haaaahaa do you know the meaning of majority? Majority without facts. Are you serious? Can I lying myself that Iran can beat the powerful combination of US and Israel, Am I serious? May be if am out of my mind.
 
NATABIRI YAFUATAYO.
1. Ndani ya wiki hii Iran ita surrender.
2. Mtoto wa mfalme anaeishi USA atachukua nnchi.

Huu ni utabiri tu.
Ngumu sana yule kurudi.
Kitachotokea itakuwa kama Syria tu atawekwa mtu kwa maelekezo.
Iran kwa sasa hana mtetezi maana kapiga hadi watetezi pekee.
Marekani kamsafishia Israel njia kwa sasa Israel anafanya lolote analoweza
 
Back
Top Bottom