Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

vita inaendeleaje huko , supa pawa anaomba warship za wengine wakati ye ndo supa pawa hili limekaje wataalamu?
Anachokifanya Trump nikutafuta uhalali wa vita kwa wananchi ndani ya Marekani, kwamba nchi nyingi zikiwa active na hiyo vita ionekane sio vita yake pekee yake kwamba vita vina uhalali wa jumuiya ya kimataifa.
 
Israel’s ambassador to the US said several Gulf countries are relying on Israeli expertise to intercept Iranian missiles and drones. The cooperation comes after Iran launched thousands of projectiles across the region during the ongoing conflict.
 
💥💥💥💥
Netanyahu: Tumemuua Ali Larijani. All Larijan alikua boss, kwenye genge la wahuni linaloongoza Iran. Tumemuua pia kamanda mkuu wa vikosi vya basij - haya ni magenge yanayoongoza kufanya ugaidi ndani ya Tehran na majijiengine dhidi ya raia.
Tunaudhoofisha huu utawala wa Iran ili kuwapa nafasi wananchi kuuondoa kabisa
 
Anachokifanya Trump nikutafuta uhalali wa vita kwa wananchi ndani ya Marekani, kwamba nchi nyingi zikiwa active na hiyo vita ionekane sio vita yake pekee yake kwamba vita vina uhalali wa jumuiya ya kimataifa.
duh hawa jamaa wanafanya hayo enzi hii ya mitandao, hivi wamerekani wanaweza kumuengua trump hapo madarakani kabla ya muda?
 
Ila Iran Ana ufala fulani hivi.

Miaka na miaka viongozi wake na wanasayansi wake wanauwa, yeye hauwi viongozi wa adui yake.

Anashindwa nini kuuua kazi kubweka bweka tu
Sasa kama una huo uwezo utafanyaje,kwani unadhani yeye hapendi iwe hivyo? Anachoweza ni kuvurumisha missile na drone bila target ya maana kuumiza mpinzani wake,na sasa hivi kasi imepungua sana anapiga tuu UAE na Saudia
 
Israel’s ambassador to the US said several Gulf countries are relying on Israeli expertise to intercept Iranian missiles and drones. The cooperation comes after Iran launched thousands of projectiles across the region during the ongoing conflict.
Expertise gani na sasa hivi hakuna Ving'ora wala interceptor zozote za maana huko Israel? Hapo nchi za kiarabu ndio kabisa, sasa hivi Mpaka Embassy za USA watu wanapita Tu na vidrone zipo abandoned. Personelk wa USA wanawindwa kwenye hotel wamejificha sio tena kwenye base.

Huko Israel hata Baraza la ulinzi hakuna kiongozi yoyote mkubwa hawajulikani wapo hai ama wmefariki.
 
Statement by Prime Minister Benjamin Netanyahu:

"This morning, we eliminated Ali Larijani. Ali Larijani is the boss of the Revolutionary Guards, that group of gangsters that effectively runs Iran. Alongside him, we also eliminated the commander of the Basij – they are the gangsters' assistants who are terrorizing the population in the streets of Tehran and other Iranian cities. We are operating there as well; operating from the air with Air Force jets and UAVs.

We are undermining this regime in the hope of giving the Iranian people an opportunity to remove it. It will not happen all at once, and it will not happen easily. But if we persist, we will give them the chance to take their destiny into their own hands.

At the same time, we are helping our American friends in the Gulf. I spoke at length with President Trump on this matter yesterday. There is cooperation between our air forces and navies, between myself and President Trump and his staff. We will assist both through indirect attacks, which create immense pressure on the Iranian regime, and through direct actions. There are many more surprises. 'By stratagems, you shall make war.' We will not reveal all the stratagems here, but as I told you, there are many.

Now, regarding another matter: the most important thing for winning a war is determination: Determination, determination, determination. The determination of the leaders, the determination of the commanders, and the determination of the people. We are determined to win, and we will achieve these goals.

I ask you to simply ignore the 'channels of gloom.' We are achieving historical milestones. With G-d’s help, we have reached a point where, after October 7, when we were on the brink of an abyss, we are now a formidable power, almost a global one, fighting shoulder-to-shoulder with our friend, the global superpower. This is already a massive achievement in the face of all the threats coming our way. What other country has these capabilities? They are all under attack. Who else has these strengths of ours – the alliances, the IDF, the Air Force, and a strong nation? So, stay strong.

I want to tell you: We will also help you. Regarding everything related to compensation, I have instructed that the framework be presented to you and that it be expanded. We will help the North, and we will help everyone in need, just as we did previously in Operation Rising Lion and during COVID-19. We will do it even more vigorously this time."
 
Back
Top Bottom