Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Shahid panah sports complex kusini mashariki mwa Tehran
20260317_170210.jpg
 
Actualy hezbollah hawajafutwa lakin walipunguzwa makali sana kwenye last campaign against israel
Hezbollah sasa hivi Wana Hadi cluster missile sio tena vidrone na virocket vidogo, hao Israel wenyewe wanashangaa imefikaje hapo Lebanon, wanarusha makombora mazito kama Iran. MTU yoyote anaefuatilia hii vita hata kwa source za west utaona suprise kuhusu uwezo wa Hezbollah.
 
Aliyekwambia cluster bombs ni aina mpya na ya ajabu ni nani hayo yametumika hata kwenye vita vya pili vya dunia na yalipigwa marufuku miaka kibao...
 
Hii vita upande mmoja umejiwekea Sheria ya kuzuiya habari mbaya za upande wao !!!

ziwe za Vifo vya raia wao!!!

Au Viongozi wao.

Kwaiyo proo Iranian kwa Israel tutajua kuusu Majengo tu sio zaidi. !!!

Vifo mpaka Sasa wametwambia 14 tu lkn majengo tu zaidi ya mamia yameshushwa !!!

kwaiyo ndiokusema Muisrael Kufa ni kugumu

kuliko kusambalatisha jengo la gorofa la ZEGE!!😜😜

yani nyama za raia wao wa Kizayuni ni ngumu kuliko ZEGE + nondo😆😆😆😆😆

Sasa wasomaji wa Jamii forum ktk ili kama wewe ujaelewa chezo basi ipo ivi!!!!

hii Vita utosikia Vifo vya raia wa Israel wala Viongozi wao!!! Never Never

kama unasubiri kusikia ilo saaau 😀😀😀

bora kunyuti chini ya 🌳Mwarubaini unaweza Kuwa na bahati ukaokota DODO 🥭🥭
 
Vifo mpaka Sasa wametwambia 14 tu lkn majengo tu zaidi ya mamia yameshusha !!!

kwaiyo ndiokusema Muisrael Kufa ni kugumu

kuliko kusambalatisha jengo la gorofa la ZEGE!!😜😜

yani nyama za raia wao wa Kizayuni ni ngumu kuliko ZEGE + nondo😆😆😆😆😆

Sasa wasomaji wa Jamii forum ktk ili kama wewe ujaelewa chezo basi ipo ivi!!!!

hii Vita utosikia Vifo vya raia wa Israel wala Viongozi wao!!! Never Never

kama unasubiri kusikia ilo saaau 😀😀😀

bora kunyuti chini ya 🌳Mwarubaini unaweza Kuwa na bahati ukaokota DODO 🥭🥭
Hata kuzuia taarifa pia ni mafanikio we unachukulia kazi ya kuwazuia watu wasitoe taarifa na muda huo umewaachia internet na kila kitu ni kazi ndogo, Iran alikimbilia mbinu za kizamani kama za bongo eti anazimia internet taarifa zake zipo uchi hadi FB
 
Aliyekwambia cluster bombs ni aina mpya na ya ajabu ni nani hayo yametumika hata kwenye vita vya pili vya dunia na yalipigwa marufuku miaka kibao...
Nioneshe kikundi gani kina cluster missile ambacho sio nchi, hizo missile za Iran ni kubwa to the point hata kufit kwenye Lori missile moja ni tabu.

Picha live ya missile za Iran
GettyImages-2147851590.jpg

Then Hezbollah wanayarusha sasa hivi hayo na watu hawajui yamefikaje fikaje Lebanon ama wametengeneza wenyewe.
 
Israel spent two weeks hunting its top target after assassinating Khamenei

Ali Larijani evaded detection by constantly moving between secret locations across Iran, defense sources told the Post. But "special capabilities" tracked him down. On the same night, Israel also struck the Basij's commander at a completely different location, 1,600 km deep in Iranian territory.
 
Nioneshe kikundi gani kina cluster missile ambacho sio nchi, hizo missile za Iran ni kubwa to the point hata kufit kwenye Lori missile moja ni tabu.

Picha live ya missile za Iran
View attachment 3559078
Then Hezbollah wanayarusha sasa hivi hayo na watu hawajui yamefikaje fikaje Lebanon ama wametengeneza wenyewe.
Acha uzushi,anaerusha clusters bomb ni Iran si Hezbollah, na hizi ndio Iran alisema silaha zake mpya kaanza kuzitumia majuzi tuu hapa.
 
Hii vita upande mmoja umejiwekea Sheria ya kuzuiya habari mbaya za upande wao !!!

ziwe za Vifo vya raia wao!!!

Au Viongozi wao.

Kwaiyo proo Iranian kwa Israel tutajua kuusu Majengo tu sio zaidi. !!!

Vifo mpaka Sasa wametwambia 14 tu lkn majengo tu zaidi ya mamia yameshushwa !!!

kwaiyo ndiokusema Muisrael Kufa ni kugumu

kuliko kusambalatisha jengo la gorofa la ZEGE!!😜😜

yani nyama za raia wao wa Kizayuni ni ngumu kuliko ZEGE + nondo😆😆😆😆😆

Sasa wasomaji wa Jamii forum ktk ili kama wewe ujaelewa chezo basi ipo ivi!!!!

hii Vita utosikia Vifo vya raia wa Israel wala Viongozi wao!!! Never Never

kama unasubiri kusikia ilo saaau 😀😀😀

bora kunyuti chini ya 🌳Mwarubaini unaweza Kuwa na bahati ukaokota DODO 🥭🥭
Halafu wao wanaripoti majeruhi tu na ving'ora kila mpersia akimaliza kupiga.
 
Back
Top Bottom