Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kafa mtu huko
Na inaonyesha israeli hawata muua huyu Raisi.Tuseme tu ukweli. Rais wa Iran muungwana sana.
Juzi hapa kawaomba radhi nchi jirani walizozipiga chaajabu wenzake wakamkana kwamba hawayatambui hayo mambo ya samahani.
If this is true it is big💥💥💥💥
Jeshi la Israel: kuuwawa kwa Ali Larijan
Vikosi vya anga kwa usahihi mkubwa na muunganiko wa mashambulizi ya kipekee ndani ya Tehran tumefanikiwa kumuua Ali Larijan ambae alikua katibu wa baraza la usalama wa iran na pia kama kiongozi mkuu wa Iran nyuma ya pazia.
Kwa miaka mingi Ali Larijan alikua akichukuliwa kama kiongozi mkubwa mwandamizi wa serikali ya kigaidi ya Iran, alikua mtu wa karibu Sana na ayatollah Khamenei.
Baada ya kuuwawa Khamenei, Ali Larijan alichukua majukumu kama kiongozi mkuu wa serikali ya kigaidi ya Iran akaendeleza mashambulizi dhidi ya Israel
Kama sehemu ya majukumu yake ali Larijan alikua kiungo wa kisiasa na kiusalama wa serikali ya kigaidi ya Iran na pia kama kiongozi wa shughuli zote za kimataifa
Katika kipindi Cha maandamano ndani ya Iran ya kupinga serikali, Ali Larijan aliongoza kwa nguvu mauaji ya waandamanaji ndani ya Iran
Kuuwawa kwa Larijan anaungana na makumi ya makamanda wa jeshi la Iran na viongozi wa serikali ya kigaidi ambao jeshi letu la Israel limefanikiwa kuwaua, hii inaashiria kuwa pigo jingine kaa utawala wa Iran kwenye kupambana na nchi yetu Israel.
View attachment 3558990
Kumbe huyu ndio alikuwa ayatola wa mpito halafu jumba bovu wakamtupia majtoba kamei.💥💥💥💥

Kuna wakati nahisi kama wana mahusiano naye huyu bwana. Yupo tofauti mno huyu.Na inaonyesha israeli hawata muua huyu Raisi.
Wew jamaa shituka wenzako wanaomba ceasefire huko 😆💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
Hana uwezo huo ndio maana anakimbilia kupiga 🇦🇪Ben Gurion airport, Dimona nuclear power plant na Dimona nuclear research center!!!
Hivi Iran ana mpango gani na hizi targets!?
Kufa ni shahidiHawa viongozi wa Iran wanafanya mistake kujitokeza. Sattelites zinaweza kutrace movements zao kama unavyoweza kuroll back cctv camera nyuma.
Pia wanaweza kuwafuatilia watu wao wa karibubwa security wakapata hint waliko
Nimeoma maandiko ya Larijani yaliyochapishwa analalamika kuwa nchi zote za Kiislam zimeiacha Iran peke yake bila utetezi hata wakisiasa tuu.Ngumu sana yule kurudi.
Kitachotokea itakuwa kama Syria tu atawekwa mtu kwa maelekezo.
Iran kwa sasa hana mtetezi maana kapiga hadi watetezi pekee.
Marekani kamsafishia Israel njia kwa sasa Israel anafanya lolote analoweza
Halafu assassination zote kaachiwa Yahudi azitekeleze.Ngumu sana yule kurudi.