Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Najiuliza hapa trump kaomba msaada NATO wamemkatalia, ikatokea Israel na marekani wakashinda vita peke yao basi ulaya watakutana na dharau za kutosha toka Kwa marekani,

Pia ulaya itawalazimu warudi kwenye meza ya mazungumzo na urusi kuyamaliza
 
Israel spent two weeks hunting its top target after assassinating Khamenei

Ali Larijani evaded detection by constantly moving between secret locations across Iran, defense sources told the Post. But "special capabilities" tracked him down. On the same night, Israel also struck the Basij's commander at a completely different location, 1,600 km deep in Iranian territory.
Hivi mkuu hili jeshi la Basji ni kitengo au ni nini hapo Tehran?
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia checkpoint ya Cyrus intersection Tehran
Screenshot_20260317-192554_1.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Vita bado mbichi lkn !!!

hii Vita inapoteza mvuto kwa Upande mmoja kuficha majanga yake !!!

sasa tunasubiri majanga upande wa Iran tu

Ndio tutajua !!!!!!!!

Kama ni MECH Simba. na Yanga
tujue matokea ya pande zote sasa kwenye hii Vita Israel kabana kosheria kabisa.

Kuna Waandishi wa CNN wapo lupango!!!!

Israel dhaifu katunga sheria kabisa ya kuficha maafa kwake!!!!
 
Vita bado mbichi lkn !!!

hii Vita inapoteza mvuto kwa Upande mmoja kuficha majanga yake !!!

sasa tunasubiri majanga upande wa Iran tu

Ndio tutajua !!!!!!!!

Kama ni MECH Simba. na Yanga
tujue matokea ya pande zote sasa kwenye hii Vita Israel kabana kosheria kabisa.

Kuna Waandishi wa CNN wapo lupango!!!!

Israel dhaifu katunga sheria kabisa ya kuficha maafa kwake!!!!
Hebu tuambie madhara anayopata Iran mbali na taarifa za vifo vya viongozi?
Hebu tuambie mda huu kama Iran inashambulia au laa?

Madhara ya pande zote mbili hayajulikani boss.
Sisi tunaona milipuko tu. Hata hizo taarifa za vifo vya viongozi huko Iran Israel ndio wanatangaza
 
Aljazeera reports;
-Iranian Qeshm island is the greatest missile fortress of all,and major many strikes emerge from there.

Hili mbungi hadi liishe kazi ipo.
 
Back
Top Bottom