Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

“Kabla ya kuuawa kwake leo, Machi 17, 2026, aliwahi kutamka maneno haya:

“Ulimwengu wa Mashariki na Magharibi unasimama pamoja na kambi ya upinzani, na hivi karibuni utawala huu wa bandia (Israel) utaondolewa.” @GHOLAMREZA SOLEIMANI, KAMANDA WA BASIJ

Hatimaye ameondolewa yeye kabla hajauondoa utawala wa Israeli.

Isaya 41:11
 
Taarifa ya Dharura: Channel 14 kupitia @DBalazada inaripoti kuwa Rais Pezeshkian alikusudia kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Kiongozi Mkuu leo kufuatia kuuawa kwa Ali Larijani. Hata hivyo, aliarifiwa na IRGC kuwa mkutano na Mojtaba Khamenei kwa sasa hauwezekani.
 
KWA NJIA HII SIO RAHISI IRAN KUSHINDA VITA HIVI MBELE YA ISRAELI NA MAREKANI

Picha ya kwanza

“DOMESTIC POLL SUGGESTS 81% OF ISRAELI PUBLIC BACKS U.S. AND ISRAEL'S JOINT ASSAULT ON IRAN”
= Uchunguzi wa ndani unaonyesha kuwa 81% ya Waisraeli wanaunga mkono mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

Picha ya pili na tatu

“INSS POLL: 62% OF ISRAELIS ARE WILLING TO LIVE UNDER WARTIME CONDITIONS FOR A MONTH”
= Utafiti wa INSS: 62% ya Waisraeli wako tayari kuishi katika mazingira ya vita kwa mwezi mmoja.

Picha ya nne na tano

“INSS POLL: 63% OF ISRAELIS SAY WAR SHOULD CONTINUE UNTIL IRANIAN GOVERNMENT FALLS”
= Utafiti wa INSS: 63% ya Waisraeli wanasema vita vinapaswa kuendelea hadi serikali ya Iran ianguke.

Huu ni ushindi wa Netanyahu ndani ya taifa lake.

FB_IMG_1773777247141.jpg
 
Iraqi Prime Minister Mohammed Shia Al Sudani " If Iran targets US embassy in Iraq our government has no right to retaliate because attacking the US embassy equals to attacking the soil of USA not Iraq".
Kimeumana😂😂😂😂😂
Huyu awe makini, wanaweza kumbatiza jina la terrorist kwa kuhatarisha ubalozi wao,Trump ni muhuni kuliko
 
Huyu awe makini, wanaweza kumbatiza jina la terrorist kwa kuhatarisha ubalozi wao,Trump ni muhuni kuliko
Hata wakimbatiza inasaidia nini?
Iraqi mabalozi na wanajeshi wa USA wanahangaika maana wanasakwa kama nini.
Na serikali ya Iraq imekataa kuwalinda.
We unadhani kwanini USA aliwaasa raia wake waondoke mashariki ya kati?
 
Back
Top Bottom