Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Prime Minister Benjamin Netanyahu on Tuesday told the people of Iran to celebrate Nowruz, the Iranian New Year, saying that the IDF is watching out for them from the skies.
 

Attachments

  • 1773787490491.jpg
    1773787490491.jpg
    97.5 KB · Views: 19
Simba la masimba anaunguruma Khaibar
Hizi propaganda za kuandika pasi na kuonekana?? Mbona uko too childish??
Tunataka tuone akiongea.Na kwanini Yeriv ateuliwe kuwa kaimu?
Hivi hizi habari unazitoa chumbani kwako?
We fala kweli. Vyombo vyote vimetangaza King Ahmad kukimbia Bahrain we ulikua wapi!??
Kama hujui si ufunge bakuli!?
 
Prime Minister Benjamin Netanyahu on Tuesday told the people of Iran to celebrate Nowruz, the Iranian New Year, saying that the IDF is watching out for them from the skies.
Hizo picha zilishatafitiwa na kuonekana za ZAMANI.
Dunia hii ya mtandao na teknolojia HUFICHI KITU.
Kama yupo hai kwanini hajaongea na kutoa tamko hadi sasa??
Kwanini ateuliwe wa kumkaimu?
Kuna shida gani hadi ateuliwe wa kumkaimu!?
 
Iran ni linchi likubwa lakini viongozi wake hawajui kujificha!

Milima yote hiyo unakosaje pa kujificha?

Bure kabisa.
Eti yaani mm katika kitu huwa kinanikera kwa Irani ni hicho tu.
Mfano lile shambulizi la mwanzo lilio uwa khaminei na viongozi wengine, zaidi ya miezi mitatu Marekani na Israel walikuwa wanatangaza kabisa kwenye vyombo vya habari kabisa kuwa wanaweza kuwalenga viongozi na kuwauwa ili kuchochea uasi dhidi ya serikali, ila katika mazingira kama hayo eti unakusana lundo la maafisa wakuu wa usalama unakutana nao ikulu sehemu ambayo kabisa unajua kuwa ni target rahisi kabisa.
Yeye Khamenei kama alikuwa hajali maisha yake kwa sababu ya umri wake vipi kuhusu maafisa wengine?
Mfano huyu Ralijan Israel yenyewe imekili kabisa kuwa kuuawa kwake kumewezeshwa na kuonekana onekana kwake hadharani kila mara licha ya uhatari wa usalama uliyopo.
Sasa kulikuwa na ulazima gani wa yeye kushida kwenye mitaa ya Tehran eti akifanya maandamano?
Mm nadhani pia kuuawa kwao kutasaidia kuondoa hawa wazee wanao leta mitazamo ya kidini hata kwenye mambo yanayo hitaji akili ya kawaida tu kuyatatua.

Mfano huyu Khamenei washauri wake walimuonya sana mwaka 2018 kuwa Iran bila kuwa na silaha za nyuklia Iran haitokuwa salama dhidi ya Nchi za magharibi,
Tena kwa kipindi hicho Iran alikuwa na nafasi kubwa ya kutengeneza silaha za nyuklia kwa sababu kulikuwa na mazingira magumu sana kwa Israel hata Marekani kuishambulia ila yeye akakataa eti uislamu hauruhusu kuwa na slaha za nyuklia hivi suala na kujihakikishia ulinzi na penyewe kunahitaji fatwaa za kidini?
 
Ushindi wa kimkakati kwa Iran, Meli za mafuta za Iran zinapita strait of Hormuz kwenda kupeleka mzigo kwa wateja, Marekani anaziona na anaweza kuzishambulia lakini anahofia kupaisha bei ya mafuta kwa sababu Iran itafanya tit for tat kwa meli za nchi za Gulf. Hii inaipa Iran mpunga wa kuendelea kulisha watu wake na kugharamia operesheni zake.

Marekani inajua, kukoma kwa biashara ya mafuta kwa sasa kutashusha thamani ya dollar, maana biashara ya mafura duniani inastabilize dollar ya mmarekani kwa sababu nchi za kiarabu huuza mafuta kwa dollar.
 
Hebu tuambie madhara anayopata Iran mbali na taarifa za vifo vya viongozi?
Hebu tuambie mda huu kama Iran inashambulia au laa?

Madhara ya pande zote mbili hayajulikani boss.
Sisi tunaona milipuko tu. Hata hizo taarifa za vifo vya viongozi huko Iran Israel ndio wanatangaza

Ungekuwa unajielewa usingeuliza ulichouliza !!!

kwamaana msg yangu ipo very clear,

nimeongelea si tu Viongozi nimekuja pia kwenye Vifo vya raia nikatoa na mifano

Mamia ya mejengo yameporomoshwa kwenye miji ya Israel lkn Vifo ni 14 tu

sasa inawezekana vip 😜😜

jengo lenye Uzito mkubwa wa Zege+nondo yanashushwa mamia.lkn Vifo 14 ¿¿

kwa Iran Vifo vya raia ni zaidi ya 1400+

manake Iran wanasema kweli na hawana Sheria ya kuzuiya ukweli..

Na Israel kashapiga promo kwa Walokole kuwa wao nizaidi ya Binadam wakawaika!!!

ndiomana Zege+nondo ni laini tuu !!!!

kufananisha na Binadam wa Kisrael ndio m'gumu sn kuteketea. 😜😜😜

Walokoleee oyeeeeee😇😇😇😇😇
 
Ungekuwa unajielewa usingeuliza ulichouliza !!!

kwamaana msg yangu ipo very clear,

nimeongelea si tu Viongozi nimekuja pia kwenye Vifo vya raia nikatoa na mifano

Mamia ya mejengo yameporomoshwa kwenye miji ya Israel lkn Vifo ni 14 tu

sasa inawezekana vip 😜😜

jengo lenye Uzito mkubwa wa Zege+nondo yanashushwa mamia.lkn Vifo 14 ¿¿

kwa Iran Vifo vya raia ni zaidi ya 1400+

manake Iran wanasema kweli na hawana Sheria ya kuzuiya ukweli..

Na Israel kashapiga promo kwa Walokole kuwa wao nizaidi ya Binadam wakawaika!!!

ndiomana Zege+nondo ni laini tuu !!!!

kufananisha na Binadam wa Kisrael ndio m'gumu sn kuteketea. 😜😜😜

Walokoleee oyeeeeee😇😇😇😇😇
Ni kweli Israel inaficha takwimu za vifo ,lakini pia Iran inazengua sana kushindwa kuwalinda viongozi wake hasa ikizingatiwa kuwa Iran ina jographia nzuri sana kwa kujilinda.
 



Israel na Marekani imeuwa viongozi wengi wa Iran lkn Sio mwisho wa Vita!!!

mapigano yanaendelea na kuendelea !!

Iran ilishasema wao ndio watamaliza Vita.!!!

Tunasikia Marekani anataka kutoka mbioooo kwenye Vita

Pole yake Netanyahu sasa kazi anayo.

Vipigo Vimeendelea kila kona Jordan Qatar UAE na uko Israel💥💥💥💥💥💥

So shangilieni vifo vya Viongozi wa Iran.

lkn hatujaona manufaaa yake kwa raia asa wa Israel bado viuma vinatembea kwaooo💥💥💥💥💥
 
Back
Top Bottom