Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yaani week 1 watu wote wameliwa

Lkn. Unaonaje Vita imeisha sasa😇😇😇

ingekuwa yupo hai + kafa lkn muhimu Vita ipo palepale!!!

Wairani wanajua. Njia ya mshindwa ni kuvizia Viongozi

lkn. Kwao ilo kamwe halifanyi Israel kushinda Vita.!!!
Kama kuuwa Israel kawauwa wengi san.

lkn viongozi wanakuja wengine kimbembe kipo palepale!!!

mpaka Israel apate Akili ya kutoka mbioooo eneo la watu.
Mashariki ya kati..
 
Ni kweli Israel inaficha takwimu za vifo ,lakini pia Iran inazengua sana kushindwa kuwalinda viongozi wake hasa ikizingatiwa kuwa Iran ina jographia nzuri sana kwa kujilinda.

Kwangu lbda kwa Viongozi wengine Vijana !!!

Lkn Ayatollah yule mzee miaka 87 mwenyewe alitaka kufa Shahidi kwa %100
hakutaka kufia kitandani.

Kumbuka AHMED YASSIN mwazilishi HAMAS Duah zake zilikuwa izo hakutaka kufia kitandani!!!
 
Ungekuwa unajielewa usingeuliza ulichouliza !!!

kwamaana msg yangu ipo very clear,

nimeongelea si tu Viongozi nimekuja pia kwenye Vifo vya raia nikatoa na mifano

Mamia ya mejengo yameporomoshwa kwenye miji ya Israel lkn Vifo ni 14 tu

sasa inawezekana vip 😜😜

jengo lenye Uzito mkubwa wa Zege+nondo yanashushwa mamia.lkn Vifo 14 ¿¿

kwa Iran Vifo vya raia ni zaidi ya 1400+

manake Iran wanasema kweli na hawana Sheria ya kuzuiya ukweli..

Na Israel kashapiga promo kwa Walokole kuwa wao nizaidi ya Binadam wakawaika!!!

ndiomana Zege+nondo ni laini tuu !!!!

kufananisha na Binadam wa Kisrael ndio m'gumu sn kuteketea. 😜😜😜

Walokoleee oyeeeeee😇😇😇😇😇
huwa sitaki sana kuamini ya kuwa elimu yenu inakuwa chini sana hata kama mngesoma chuo kimoja na wengine wa imani tofauti. ebu fikiria kombola la kasi ya juu la Iran linachukua dakika saba hadi nane kufika Israel wakti huo tayari rada za Israel zitakuwa zimegundua kuwa kuna hatari inakuja na kengele ya onyo hulia watu wengi wa eneo lengwa hukimbilia kwenye handaki lililopo karibu na hapo. kwa hiyo hata kama shambulizi litafanikiwa kupiga sehemu lengwa mara nyingi huwa iko tupu. kumbuka kuwa si kombora linalotishwa na Iran hupiga mengi huwa intercept er na mifumo ya Israel. tofauti na mashambulizi ya Israel kwenda Iran yanafanywa na ndege ambazo kwa wakati huu zinaingia katika anga la Iran pasipo na upinzani wowote hivyo hujichagulia wapi ziangushe mabomu
 
za ndani kabisa leo usiku wamelenga spika wa bunge ngoja tuone kama watakuwa wamepita nae au wamemkosa
 
Kwa Akili iyooo wewe utakuwa Mlokole wa kupiga kelele kwenye vituo vya bus.

Kwaiyo kumbe. Wanajulishwa kukimbia kwa wkt!! Dkk 7 majengo yote yanabaki tupu mji mzima. Sio¿¿¿¿

Swali ??
Wajibu wasomaji wa Jamii forum.

Kwann basi Serikali ya Israel imepitisha Sheria ya kubana Media kwenye matukio ya Vita na wananchi pia wanazogwa nayo iyo Sheria.

ukikutwa umepiga picha seem zilishambuliwa. Wanakudaka!!!

JE unajua kuna watu wa Media wamekamatwa wakiwemo kutoka CNN

kwa Akili yako iyo iyo ya Kilokole funguka kidogo kwanini wanazuiya media?

Kuna nn wanataka kuficha Dunia isijue ???
Tuanzie apo.
 
Aljazeera reports;
-Iranian Qeshm island is the greatest missile fortress of all,and major many strikes emerge from there.

Hili mbungi hadi liishe kazi ipo.
Sasa mbona wanatoa siri
Ndiyo shida ya Iran, yàani kumtangazia Adui mipango yake na pia military facilities zake.

Habari za kusema: "tuna hiki" Sijui "tutapiga au tunatarajia Kupiga sehemu flani" ni kama vile wanajichoresha kwa adui.
Vita haiitaji mbwembwe, vita inahitaji vitendo zaidi kuliko mipasho.
 
Two dead following missile strike near Tel Aviv​

Two people have been killed following a missile attack near Tel Aviv, according to Israeli emergency responders.

02:57

Back
Top Bottom