Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Najiuliza hapa trump kaomba msaada NATO wamemkatalia, ikatokea Israel na marekani wakashinda vita peke yao basi ulaya watakutana na dharau za kutosha toka Kwa marekani,

Pia ulaya itawalazimu warudi kwenye meza ya mazungumzo na urusi kuyamaliza
Ulaya wako right, when trump alipoingia madarakani they ali impose tarrif, threat kumega icelanda, majuzi kasema he doesnt need them halaf leo he needs them?

He is mad, NATO ni defence organization sio offence. Kama europe haijaguswa america atalibeba mwenyewe.

He better win or else ataondoka kwa aibu
 
Reuven Azar balozi wa Israel nchini India "Israel iko tayari kumaliza uhasama kama Iran watabadilisha nia na malengo,na tushazungumza na wanadiplomasia wa siasa za kikanda kuhusiana na hilo".
Vyanzo: Yediot Ahronoth na The Telegraph one news.
 
💥💥💥💥
Israel imefanikiwa kumuua Esmail Khatib waziri wa intelijensia wa iran
20260318_133617.jpg
 
BREAKING: Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran.

Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against Iran and Hezbollah.

He also confirms Israel has authorized targeting of any senior Iranian figure without additional approval, indicating an expanded operational mandate.
 
Mohamed Cherry, director of Hezbollah’s Al-Manar channel and a likely successor to Mohammed Afif, the group’s communications and PR chief, was killed overnight in Beirut.
 
Kama inabana midia zisitoe kinachoendelea huko, kwa nini wewe hapa unaleta habari za maghorofa ya Israel yanapigwa na bomu za Iran

Hizo habari unazipata wapi chief

Walokole vichwan kuna shida sio ndogo ya uwelewa!!!!!😇😇😇

Mm zaidi nimetoa maelezo kuusu Vifo !!!!
Sio Majengo jengo lipo apo unaweza kupiga picha kimya kimya

Sasa vifo!!!

mwenye haki ya kutoa idadi ya Vifo ni serikali ya marehemu Netanyahu !!!

ni Serikali usika sio mpita njia!!!

Sasa Iran wanasema kweli nanyinyi Walokole mnashangilia kwa mapambio na kumtukuza Mungu wenu Israel idadi ya Vifo 1400+

Kwa Wazayuni vifo 16 uwongo wao umetungiwa Sheria kabisahaaaaa😜😜😜😜😜 basi
Aleluyaaaaaaaaaaaaa

Nitatuma picha kiasi muone jinsi Israel imepigika kama zitaweza kuja!!

Changanya na zako Vifo 16

najua zipo zitakuja lkn zengine zitagoma!!!

mana jamaaa wanabana kinoma aiba yao isiteteleke!!!
 
Kwani wangetengeneza ni lazima watumie? Hayo makombora wanayorusha hovyo bila target huoni kama wanauwa wasio na hatia pia?
As far as I understand hawatarget civilians area na wanatoa Taarifa kabla, sometimes wanazungushia Hadi Eneo watakalopiga na Kutoa Taarifa kabla km 1 kuzunguka Eneo waondoke.

Kama Una ushahidi Iran wanapiga Shule, vyuo etc na sehemu ambazo sio za kijeshi uweke humu.
 
Nyuklia haichagui ikipigwa sehemu wanakufa karibia wote, Hadi sisimizi, Ndege na kila kiumbe hai, kama huoni uovu wake huwezi ona uovu wa chochote kile.
kwani bomu la kawaida likipiga alipo sisimizi hadi au wenyewe linachafua huyu anakufa na huyu anabaki
 
Israel ni nchi yenye demokrasia Pana sana
Huwajiteui TU kama maayatolah

Kama Netanyahu amefariki wangetanagaza vyama visimamishe wagombea wao
Huu uppuzi mnaofikiria mmajifaji TU kipumbavu

Wewe ujui chochote kuusu Katiba ya Israel !!!

lkn ajabu unamkosoa mwenzio kamanakwamba wewe unajua!!!! mwenyewe O !!!

tuanzie apo!!

Kama sio O fafanunua Sheria ya Israel inasemaje?? ikiwa km sasa Pk kakufa milelee amina!!!!
 
Back
Top Bottom