Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Israeli inasema ilishambulia mali ya al-Quard al-Hasan, ambayo inadai inafadhili jeshi la Hezbollah na kuwapa mishahara
bbc.in
Baada ya kifo cha Larijani, Israel yatangaza kumuua waziri wa ujasusi wa Iran - BBC News Swahili
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, anasema waziri wa ujasusi wa Iran Esmail Khatib ameuawa. Iran bado haijathibitisha.