Muda si mrefu kuna waziri nae Kapost mwanae yupo ICU, tetesi Mda Hezbollah walipofanya ambush walimuua ama alikua kwenye critical condition.
View attachment 3559649
Vita sio Rafiki kwa yoyote mkipanga Uvamizi kuna matunda yake ndio ayooo!!!
Muda si mrefu kuna waziri nae Kapost mwanae yupo ICU, tetesi Mda Hezbollah walipofanya ambush walimuua ama alikua kwenye critical condition.
View attachment 3559649
Ulaya wako right, when trump alipoingia madarakani they ali impose tarrif, threat kumega icelanda, majuzi kasema he doesnt need them halaf leo he needs them?
He is mad, NATO ni defence organization sio offence. Kama europe haijaguswa america atalibeba mwenyewe.
He better win or else ataondoka kwa aibu
Daah nyie mayahudi punguzeni dozi. Moto mnaowapelekea ni mkubwa mno.💥💥💥💥
Jeshi la Israel: mashambulizi dhidi ya Iran yatazidi kuwa makubwa
Sasa itakuwaje idi?jamaa hawataki mapumuzko
We chizi kweli wenzako wanakufa real we unachekelea unaleta porojo..Kama uyu au👇👇
Israel inateketezwa fanyeni mikeleleyenu mnayoita maombi !!msije kusema hamkuambiwa😜😜😜
Umebaki kuongelea tetesi tuuMuda si mrefu kuna waziri nae Kapost mwanae yupo ICU, tetesi Mda Hezbollah walipofanya ambush walimuua ama alikua kwenye critical condition.
View attachment 3559649
Yani we kichaa umeona ujitekenye mwenyewe alafu ucheke mwenyeweFanyeni Mikelele ya maombi👇👇☠️☠️☠️☠️☠️☠️
Wambie hezbolah watangaze hadharani majina ya makamanda wwaliowaua hadi Sasa... Mbona taarifa zingine hua wanazisema?Hezbollah kupitia Drone maarum za kimkakati za Iran ndio zinafanya msako wa Makamanda wakuu wa IDF!!!
Washauwawa kibao!!! Wanaishi kwa hofu kubwa.!!!
ndiomana Israel inapiga sn Lebanon!!
lkn hawajui pakupiga wanaishia kubomoa majengo la raia.
Kwamba waziri mwenyewe Kapost selfie na mwanae yupo ICU ni tetesi?Umebaki kuongelea tetesi tuu
Mmebaki kuongea porojo na stori za kutengeneza... Mshaona mbinu za kivita mmeishiwa Sasa mmebakiza mbinu za mipashoKwamba waziri mwenyewe Kapost selfie na mwanae yupo ICU ni tetesi?
MTU kaongea Hezbollah wanadeal na Viongozi wa Israel, na Hezbollah mwanzo waliclaim wamempiga mtoto wa huyo waziri wa fedha ambaye alikua anaongoza kikosi cha Ardhini, na Waziri mwenyewe kapost yupo hospital na mwanae, kuna mpasho gani hapo zaidi ya povu lako mwenyewe?Mmebaki kuongea porojo na stori za kutengeneza... Mshaona mbinu za kivita mmeishiwa Sasa mmebakiza mbinu za mipasho
Tayari huko washaanza kulipuliwa Mafuta Yao,Mayahudi mpango wao ni kusababisha full chaos hapo ME,
They want the gulf states to fully participate in this war, to fight each other, that would significantly give her the window she needs to widen his territory and military mighty.
And these middle eastern fools who are sitting on the throne are still sleeping.
Kuendelea na hii vita nchi za kiarabu zitakua kwenye wakati mgumu pengine wakati mgumu zaidi ya Iran
Nawaona Saudia wakilipiza sidhani kama watavumilia hili
Netanyahu Akbar 🤣🤣🤣🤣Kila nikikumbuka kauli za waislam wa tz kipindi kile Cha kuelekea D9, na Kisha nikikumbuka propaganda za waislam za kutaka kueneza udini tz kupitia wakatoliki feki, napata sababu za kusema waislam ni wakorofi sana..hivyo Basi
"WAPIGWEEEEEE"