comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kama raisi wa Iran angekua na kauli ya mwisho, Iran pale ina mtu, shida ni hicho kikundi cha wavaa kobaz
Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.Milipuko mikubwa imeshuhudiwa kwenye mji mkuu wa saudia rabia Riyadh.
Marekani atakuwa anashea. Alafu tuliza kijambio Iran alitoa taadhari mapema kama vituo vyake vya mafuta vitashambuliwa, basi vituo vyote vya mafuta ambavyo vipo middle east vyenye mahusiano na marekani vitakuwa tageti. Hiyo inaitwa tit for tat 🤣🤣🤣Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.
Wiki iliyopita Israel alitishia kupiga Nuclear Powe Plant ya Myahudi, baada kupiga viwanja vya ndege, vituo vya kuzalisha umeme bandari na Oil Refinery na hii baada ya Oil Refinery yake kupigwa. Sasa Myahudi kaipiga Nuclear Power Plant Iran,japo madhara sio makubwa, naona kabisa inawezekana tusimalize wiki akaipiga Nuclear Power Plant ya Myahudi. Jana wamelipua kituo chake cha gas,leo ametoa tangazo ,kwa makampuni yote ya Gas ambayo US anashare wajiandae.
View: https://m.youtube.com/watch?v=p_54hrfo2pE
Hii vita itafungua ukurasa mwengine kabisa, kama Nuclear Plant ya mmoja wapo ikipigwa ile kisawasawa, watu wa mji huo watapata madhara ya mda mrefu na huo mji utafungwa.
Naona Qatar ameshajiandaa mapema baada ya Iran kuwapa taarifa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=S1ycR9gm9dc
Ishia hapo hapo inatosha.sijakuelewa kabisa emu soma mwenyewe apo mwanzo maana imebidi niishie huo mstari wa kwanza
Yeye kasema atashambulia vituo vituo vyenye ubiya na makampuni ya Kimarekani na mpaka sasa amesha piga viwili.Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.
kwa kweli eti Israel alitishia kupiga nuclear power plant ya myahudi. Dah jamaa wanatoa kipigo mpaka mashia wa kibongo wanachanganyikiwaIshia hapo hapo inatosha.