Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Wamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Wamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Jamaa muongo wewee, Qatar wamedhibiti nini? Satellite image kibao Mtaa mzima kunaunguaWamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Na hii video liveWamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Wewe endelea kuropokwa hapo baada ya kushiba migebuka.Hizi ni nyakati mbaya sana kwa Wairan na Waarabu weusi wa Mbagara, Kondoa na Tandahimba, futari ya Magimbi liyochanganywa na Mashelisheli na uji ulioungwa kwa maziwa ya ngamia vinawakwama kooni kwa kipigo wanachotembezewa wapendwa wao huko Iran..
Haaaaa eti wamedhibiti ww jamaa una ushabiki wa kifala kweli.Wamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Kitu gani hicho anachokitaka Israel?Wamepiga Qatar but umezibitiwa,Qatar kafukuza wanadiplomasia na waambata wa jeshi wa Iran,anachokitaka Israel naona kinaenda kutimia.
Unadhan US ni mjinga? Hapo hawezi ingia mwenyewe lazima Qatar na Saudia washiriki sababu Iran keshawachokoza. Na vile wananchi wa Iran hawaipendi huu utawala wa Iran lazma watawaunga mkono.Nevatim airbase imepapaswa.
Sehem za kujazia mafuta ya ndege mid east zimepapaswa.
Petrochemical industries zimepapaswa hadi Saudi Arabia wame panick kutishia kulipiza.
USA naona anaendelea kufanya maamuzi ya KIJINGA ya kuingiza jeshi lake ardhini Iran.
Soon tutaona US marines wakiingia kwa majeneza kwa wingi.
Kwani hao wanao shambulia na hayo mabomu Iran inawasaidia vipi?Hii inamsaidia vipi Iran kuzuia hayo mabomu?