City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sirjan
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sirjan
Aramco ilikua full owned ya Saudia, alivyoingia Salman ameilist Asilimia 10 Kwa private investors.Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.
Hii mbona kawaida,na imezidisha muda wa deployment miezi kumi sasa ipo kwenye deployment ambapo imezidisha muda,pia inaenda refueling na kujua chanzo cha moto ulioanzia laundry. Mlisema hapa imepigwa missile chuma hicho hapoWatu wanajiondoa huko!!!!!!!!!!
USS Gerald R Ford aircraft carrier heading to Greece for repairs - CBS
The USS Gerald R Ford aircraft carrier is heading to an American navy base on Crete, Greece, for repairs after last week's fire onboard, a US official has told the BBC's US partner CBS News.
Published at 00:19
BBC Home | Breaking News, World News, US News, Sports, Business, Innovation, Climate, Culture, Travel, Video & Audio
Visit BBC for trusted reporting on the latest world and US news, sports, business, climate, innovation, culture and much morewww.bbc.com
Anatapata mpaka sasa hakuna collateral damage ya kuumiza aliyofanya kwa wahusika wakuu wa vita Marekani na Israel.Sasa Iran kwa nini anashambulia vituo vya mafuta vya Saudia au ni vya wamarekani au ni Israel anataka fujo itapakae kote middle east.
Hii ndio revenge ya Iran?Aisee kuna kiongozi wa Israel huko kapiga selfie akiwa na mwanawe hospitalini. Mwanawe ni maututi sana.
Kuna swali moja aloulizwa muwakilishi wa Pentagon DoD na Congress kuhusiana wametumia mabomu mangapi ,jamaa alikosa majibu. Kuna kituo kimoja cha researchers, kimechambua gharama wanakadilia kwa mda wa siku nne US katumia USD 20bil, katumia aina 35 ya mabomu huku akirusha mabomu 5197.Iran nae kwa siku nne ukipiga hesabu ya mabomu kuanzia mesile na Drone ametumia 2000+ na Interceptors 65.
View: https://m.youtube.com/watch?v=gXRGps-5_Yw
CIA veteran wakati akihojiwa na NBC,anadai anategemea hii vita itakuwa ni mda mrefu sana huku akiwasifia Iran kwamba,wanamifumo mizuri ya uongozi inaonekana wanajua jinsi ya kuachiana vijiti. Naona mkuu wa Counter Terrorism kachia manyanga,sababu hauni reasons ya US kumpiga Iran.Hii picha kama Movie bado haijaanza kabisa, wataalamu wa maswala ya Energy wanakadilia mpaka kugika may 15,nchi nyingi zitaishiwa akiba zao za mafuta na hii ngoma hii itatoboa miaka hata zaidi ya ishirini.Mrusi kama kawa amewambia kwake ukitaka mafuta ni mwendo Ruble.
Hilo daraja la MTO laitan tayari limesawazishwa usiku huujana usiku Hezbolla walirusha rocket zao kama kawaida kuelekea israel, wakati huohuo idf waliweza kulocate kwa haraka rocket zinapotokea, wakakaa mata idadi kubwa ya makombora na silaha zingine, pia wakati huo wakagundua njia za siri walizo kuwa wakingiza silaha kutoka iran kupitia mto laitan