Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Haaaaa eti wamedhibiti ww jamaa una ushabiki wa kifala kweli.
Yaani mlitegemea eti Iran iharibiwe vyanzo vyake vya kiuchumi alafu yeye akae kimia la msingi hapa tujiandae kununua mafuta lita 10,000 tu.

Uyu Trump wkt wa Utawala wake wa kwanza kuingia Ikulu !!!

alikusudia kuzuiya Iran kufanya Biashara ya Mafuta mnakumbuka!!!

alisema nitaakikisha hakuna hata litamoja inayouzwa kutoka Iranian!!

sasa kabla ya kuwekwa Vikwazo kwa Iran!!!

Trump aliakikisha Makampuni ya Marekani yananunua Hisa za Nishati eneo la Gulf States.

Baada ya apo Trump akaingia kibaruani kutangaza kwa Dunia ni Marufuku kununua Nishat ya Iran !!

Iran ilipata pigo kubwa sn na !!!

Na Waarabu wakashangilia kimya kimya !!

Korea kusini aligundua mafuta ya Iran ndio number 1 kwa Viwanda vyao!!
kushinda wengine wote kieneo so alikuwa mnunuzi mkubwa pamoja na Japan!!

lkn tutafanyaje na mkubwa kaamua

hii Vita Iran kapata sababu ya kulipiza ujambazi aliofanyiwa.tutagawana Umasikini.
 
Iran lazima apigwe na utawala ubadilishwe yeye ni chanzo cha ukosefu wa amani pale mashariki ya kati, na anafadhili vikundi vyote vya magaidi pale... Kuna video za IDF wakionyesha silaha walizokuta kwenye majengo ya Hezbollah waliokimbia ya mipakani na Israel ndio nikaona lazima afundishwe adabu na wasilegeze waendelee kukaza hapohapo maana ashaanza kutapatapa na utakuwa ushindi mkubwa sana na sio kwa Israel na Marekani hata mataifa yote ya kiarabu hayamkubali!!
 
Jana Iran kahaidi kutekeleza,

View: https://m.youtube.com/watch?v=S1ycR9gm9dc
Trump kasema hawatopiga tena vituo vya kuzalisha gas vya Iran,naona shambulizi la jana limegusa maslahi ya US.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Iftset8PK7g
Screenshot_20260319_072202_Chrome.jpg
 
Uyu Trump wkt wa Utawala wake wa kwanza kuingia Ikulu !!!

alikusudia kuzuiya Iran kufanya Biashara ya Mafuta mnakumbuka!!!

alisema nitaakikisha hakuna hata litamoja inayouzwa kutoka Iranian!!

sasa kabla ya kuwekwa Vikwazo kwa Iran!!!

Trump aliakikisha Makampuni ya Marekani yananunua Hisa za Nishati eneo la Gulf States.

Baada ya apo Trump akaingia kibaruani kutangaza kwa Dunia ni Marufuku kununua Nishat ya Iran !!

Iran ilipata pigo kubwa sn na !!!

Na Waarabu wakashangilia kimya kimya !!

Korea kusini aligundua mafuta ya Iran ndio number 1 kwa Viwanda vyao!!
kushinda wengine wote kieneo so alikuwa mnunuzi mkubwa pamoja na Japan!!

lkn tutafanyaje na mkubwa kaamua

hii Vita Iran kapata sababu ya kulipiza ujambazi aliofanyiwa.tutagawana Umasikini.
Mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Iran ni China,
 
Nevatim airbase imepapaswa.
Sehem za kujazia mafuta ya ndege mid east zimepapaswa.
Petrochemical industries zimepapaswa hadi Saudi Arabia wame panick kutishia kulipiza.

USA naona anaendelea kufanya maamuzi ya KIJINGA ya kuingiza jeshi lake ardhini Iran.
Soon tutaona US marines wakiingia kwa majeneza kwa wingi.

USA Hawezi kupeleka Majeshi ya Ardhini Iran!!!

Sababu nyingi sana za kimkakati kijografia !!!

mfano kwasasa Serikali ya hii ya Iraq ingekuwa ndio ya Sadam hussein kwamaana inamaelewano kama ivi.

Marekani isingeenda Iraq kabisa
Wameshindwa YEMEN na Mapesa kibao ya SaudiArabia!!!

Tatizo Sadam kakosa Sapot kabisa. ya Iran Saudi Arabia UAE Qatar kuwait SYRIA jiran wote!!!

Kwasasa Iran na Iraq nikama nchi moja.

Kumbuka Idara Usalama ya Iraq imeundwa na Iran
tofaut na Iraq chini ya Sadam.

So iyo Vita TRUMP hawezi ichokoza kabisaa.

Kwasasa Trump yupo kwenye kikaango cha Uchaguzi wa Mabunge yao,

chama chake republican kinamtaka TRUMP alaka hatoke Iran kabla ya Uchaguzi,
 
Lengo la Marekan kuwatisha Iran ili wakubali Mazungumzo ya kusitisha Vita

Kwasasa Israel na Marekani wanaona wanapata hasara kuendelea kushambulia Iran!!

kwamaana hakuna lengo muhimu hawajapiga!!!

Sasa vichwa vinawauma Vita itaishaje‼️

Wanauwa maafisa wakubwa wa Iran.
siku iyoiyo inateuwa mwengine!!!!

Uwezo wa kuwazuiya IRGC kutokushambulia pande zao haiwezekani kabisa.

Tukumbuke pia paleYemen.
USA &Israel & Saudi Arabia walishindwa kuzuiya MAKOMBORA ya Yemen.

mwisho wakarusha taulo mbele ya Macho yetu + Walokole ¿¿¿
 
Iran lazima apigwe na utawala ubadilishwe yeye ni chanzo cha ukosefu wa amani pale mashariki ya kati, na anafadhili vikundi vyote vya magaidi pale... Kuna video za IDF wakionyesha silaha walizokuta kwenye majengo ya Hezbollah waliokimbia ya mipakani na Israel ndio nikaona lazima afundishwe adabu na wasilegeze waendelee kukaza hapohapo maana ashaanza kutapatapa na utakuwa ushindi mkubwa sana na sio kwa Israel na Marekani hata mataifa yote ya kiarabu hayamkubali!!
Israeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.

Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
 
Israeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.

Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
Kupitia HAMAS na HEZIBOLLAH, nani Mfadhili wao??? Kwanini Kila siku wanaishambulia Ardhi ya wayahudi????
 
Uyu Trump wkt wa Utawala wake wa kwanza kuingia Ikulu !!!

alikusudia kuzuiya Iran kufanya Biashara ya Mafuta mnakumbuka!!!

alisema nitaakikisha hakuna hata litamoja inayouzwa kutoka Iranian!!

sasa kabla ya kuwekwa Vikwazo kwa Iran!!!

Trump aliakikisha Makampuni ya Marekani yananunua Hisa za Nishati eneo la Gulf States.

Baada ya apo Trump akaingia kibaruani kutangaza kwa Dunia ni Marufuku kununua Nishat ya Iran !!

Iran ilipata pigo kubwa sn na !!!

Na Waarabu wakashangilia kimya kimya !!

Korea kusini aligundua mafuta ya Iran ndio number 1 kwa Viwanda vyao!!
kushinda wengine wote kieneo so alikuwa mnunuzi mkubwa pamoja na Japan!!

lkn tutafanyaje na mkubwa kaamua

hii Vita Iran kapata sababu ya kulipiza ujambazi aliofanyiwa.tutagawana Umasikini.
Kiufupi hizi nchi za kiarabu zinasitahili hichi zinacho kipata maana ripot zinaonesha kuwa Saudia nyuma ya pazia ilikuwa ikishirikiana na Israel kumshawishi Trump aishambulie Iran sasa watulie wale matunda ya kitu walicho kuwa wakikitaka.
 
Israeli ndio anayekosesha amani mashariki ya kati. Anajiongezea maeneo kwa nguvu kila kukicha na vita nyingi yeye ndio anayeanzisha.

Vita gani irani alianza kushambulia nchi yoyote?
Anadhamini makundi yote ya kigaidi pale mashariki ya kati
 
Alon Mizrahi Israeli correspondent;
-Over night Iranian missile strike decapitated biggest railway station and railway system in Tel Aviv.On which even IDF uses it for North-South millitary transportation.
 
Saudi Arabia, UAE na Qatar wanamuhitaji sana Marekani *****...

Wakitoa hizo base wanakuwa chakula cha Israel au Iran.

Hizo Nchi ni very weak
Tangu 1979 Iran haikuwahi kuwa tishio kwa taifa lolote Middle east. Badala yake ilijitahidi sana kutaka kuunganisha uhusiano mzuri na nchi za gulf.Badala yake kila leo wamekua wakiisaliti Iran.
Misri wana akili kuliko wewe kijana,walitamka wazi kuwa kama waarabu hawatakua makini ikimalizwa IRAN basi nchi za kiarabu zenye nguvu zitafuata. Maana USA na Israel hawana urafiki wa kudumu na kuaminika.
Iran angekua mbaya basi hizo gulf state zingeanza kukandamizwa tangu mwanzo kwa kutumia Hormuz kama fimbo.
Ni kama Trump anavyotumia ufadhili wa NATO kama fimbo.
 
Unadhan US ni mjinga? Hapo hawezi ingia mwenyewe lazima Qatar na Saudia washiriki sababu Iran keshawachokoza. Na vile wananchi wa Iran hawaipendi huu utawala wa Iran lazma watawaunga mkono.
Tarehe 17 raia wa Iran wamefanya pro-government rallies. Wakiunga mkono serikali. Mind you kama Iran wakiwa hawataki kitu huwa hawakwepeshi,1979 Shah Pahlavi aliweka jeshi kumtetea ila NCHI NZMA iliandamana na kumkimbiza ofisini. Hawashindwi hata sasa. Wapinzani wapo ila sio kufikia idadi ya wanaoiunga mkono serikali.
Qatar na hao nchi zingine za kiarabu uwezekano wa kuingia ni nearly impossible,katizame hata reply zao juu ya huu mzozo. Usisahau Iran ana vikundi vya wapiganaji sehem nyingi,kimoja wapo kishamtimua mfalme wa Bahrain.
Wakiingia hapo hata miezi miwili haishi utawala utakuwa umeanguka maana watakuwa wanapokea kipigo kutoka juu na ardhini huku wananchi watapata fursa ya kuwaunga mkono US kwa kutoa taarifa na kufanya maanamdamano, na kuna uwezekano mkubwa jeshi likagawanyika hasa jeshi lililochini ya Rais likamuunga mkono US ili wapewe nchi unadjani watakataa hii fursa wakati mda wote huwa wapo chini ya IRGC huku waki dharaulika?. Suprise nyingi zina kuja. IRGC watauwa wanajeshi wengi wa US na washirika wake ila mwisho wa siku wao watafutwa kabisa.
Iran ina majeshi yaliyogawanyika sehemu nne ambayo yanajiendesha kwa amri yake na yote ni matiifu.
-Basirj force ina kiongozi wake.
-Quds force ina kiongozi wake.
-Jeshi la nchi lina kiongozi wake.
-IRGC lina kiongozi wake.
Na kwa jeshi ambalo lina idadi ndogo ni IRGC. Kama wangetaka kuipinga serikali basi wangefanya muda sana buddah.
Ya 1980-1988 yanajirudia.
 
USA Hawezi kupeleka Majeshi ya Ardhini Iran!!!

Sababu nyingi sana za kimkakati kijografia !!!

mfano kwasasa Serikali ya hii ya Iraq ingekuwa ndio ya Sadam hussein kwamaana inamaelewano kama ivi.

Marekani isingeenda Iraq kabisa
Wameshindwa YEMEN na Mapesa kibao ya SaudiArabia!!!

Tatizo Sadam kakosa Sapot kabisa. ya Iran Saudi Arabia UAE Qatar kuwait SYRIA jiran wote!!!

Kwasasa Iran na Iraq nikama nchi moja.

Kumbuka Idara Usalama ya Iraq imeundwa na Iran
tofaut na Iraq chini ya Sadam.

So iyo Vita TRUMP hawezi ichokoza kabisaa.

Kwasasa Trump yupo kwenye kikaango cha Uchaguzi wa Mabunge yao,

chama chake republican kinamtaka TRUMP alaka hatoke Iran kabla ya Uchaguzi,
Trump ni CHIZI amesha deploy US marines 2200 na ameongeza 2800 wengine wamefika 5000. Na amesema siku zijazo soon atawaruhusu waingine Iran.
 
Back
Top Bottom