Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuwaingiza waarabu wote vitani dhidi ya Iran.
Iran alishasema endapo atashambuliwa, vita yake itakuwa ni vita ya kikanda, yaani ataiingiza middle east yote vitani!

Screenshot_2026-03-19-12-02-08-75_6bcd734b3b4b52977458a65c801426b0.jpg


Sasa wewe sijui unaongea habari gani!?

Iran ameshajipanga na vita ya kikanda, sijui hao waarabu aka mchelemchele kama wamejipanga kupigana na Iran, they know the cost!!!
 
Tarehe 17 raia wa Iran wamefanya pro-government rallies. Wakiunga mkono serikali. Mind you kama Iran wakiwa hawataki kitu huwa hawakwepeshi,1979 Shah Pahlavi aliweka jeshi kumtetea ila NCHI NZMA iliandamana na kumkimbiza ofisini. Hawashindwi hata sasa. Wapinzani wapo ila sio kufikia idadi ya wanaoiunga mkono serikali.
Qatar na hao nchi zingine za kiarabu uwezekano wa kuingia ni nearly impossible,katizame hata reply zao juu ya huu mzozo. Usisahau Iran ana vikundi vya wapiganaji sehem nyingi,kimoja wapo kishamtimua mfalme wa Bahrain.

Iran ina majeshi yaliyogawanyika sehemu nne ambayo yanajiendesha kwa amri yake na yote ni matiifu.
-Basirj force ina kiongozi wake.
-Quds force ina kiongozi wake.
-Jeshi la nchi lina kiongozi wake.
-IRGC lina kiongozi wake.
Na kwa jeshi ambalo lina idadi ndogo ni IRGC. Kama wangetaka kuipinga serikali basi wangefanya muda sana buddah.
Ya 1980-1988 yanajirudia.
Subiri wakose mshahara uone kuwa pesa, njaa na utiifu kipi cha kwanza.
 
Hasara ni kubwa sana kwa USA.
Uwekezaji alioufanya ziaidi ya miongo minne umeteketea ndani ya wiki 3 tu.
-Kambi za jeshi.
-Balozi.
-Uwekezaji wa kibiashara hususan mafuta.
-Radar za gharama.

Kiufupi USA ameshapoteza influence middle east.
Kwa kweli
 
Kupitia HAMAS na HEZIBOLLAH, nani Mfadhili wao??? Kwanini Kila siku wanaishambulia Ardhi ya wayahudi????

Kabla ujamtafuta Mfadhili kwanza chunguza izo Nchi ujue Je zenyewe hazina Sababu yoyote Je!!

Kama ipo basi ndio zimetafuta Mfadhili !!!

Au Mfadhili ndio kazitafuta izo Nchi au Makundi !!!

Hezbollah ndio wametafuta Mfadhili Sababu kuu Mzayuni kavamia Ardhi yao Lebanon ✍️

wkt huo hata hii Hezbollah haikuwepo kabisa✍️

So mchokozi ushamjua kama niMzayuni kuvamia Ardhi ya Lebanon✍️

fahamu kama sio kuvamiwa Ardhi yao!!

Hezbollah isingekuwepo kabisa sembuse kuwarushia jiwe zayuni!!

Ndio na HAMAS tatizo limeanzia kuvamiwa Ardhi zao na kufukuzwa kwenye Ardhi yao iyoiyo. ✍️

Picha ilivo Iranian imetafutwa kusaidia kukomboa Ardhi za Lebanon na Palestine ✍️.

Kama vile Africa kusini na Makaburu!!!

Waraabu ndio wakwanza kuguswa na Mateso wanayopitia wa Africa kusini wakaanza alakati!!!

kusaidia Kijesh kufadhili kipesa mafunzo ya wapigania uhuru ktk Nchi tofaut ikiwemo TZ kupambana na Makaburu!!

Waarabu ndio kipindi cha alakati izo walisaidia kuwaunganisha wapigania uhuru wa Cuba na Africa kwa ujumla !!!

ikawa njia nyeupe kwa Russia kusaidia wapigania uhuru wa Africa kwa Ujumla wake ikiwemo Africa kusini Angola msumbuji Nk..

kumbuka pia vijana wa kipalestina kwa mamia wamekufa Africa kusini ktk alakat za kupigania haki yao ya kujitawala bila kujali langi yao au Dini yao!!!

Rais RIP Yasir Arafat wa Palestine nusu kufia msumbiji kwenye alakat za kuwapigania watu wa Africa kusini!!!

helikopta aliopanda ilianguka kwenye misutu minene waokoaji wakazani wamekufa wote kwenye iyo helikopta!!!
lkn mzee Yasir Arafat. akatoka Salama kwenye iyo ajali.

Iliwashangaza wengi tukio ilo..✍️
 
Subiri wakose mshahara uone kuwa pesa, njaa na utiifu kipi cha kwanza.
Hivi uliisoma vita ya Iraq-Iran war ya 1980 hadi 1988!??
Hadi watoto wa miaka 14 WENYEWE pasi na kulazimishwa walijiunga jeshi kupigana. Wakati huo Iran inanuka njaa kuliko hata Burundi.
Una habari mshambuliaji wa Olympiakos amekataa kusaini mkataba ili arudi IRGC kujiunga na vita!??
 
Hivi uliisoma vita ya Iraq-Iran war ya 1980 hadi 1988!??
Hadi watoto wa miaka 14 WENYEWE pasi na kulazimishwa walijiunga jeshi kupigana. Wakati huo Iran inanuka njaa kuliko hata Burundi.
Una habari mshambuliaji wa Olympiakos amekataa kusaini mkataba ili arudi IRGC kujiunga na vita!??
Upo sahihi nipo iran mwaka wa nne huu

Navutiwa sana na spirit yao hawa jama

Kuna mzee nilikua nafanya nae kazi december mwaka wa jana yeye na mwanae mara ghafla mwanae simuoni namuuliza yupo wapi ananiambia ameacha kazi na kwenda kujiunga jeshi kama unakumbuka hui ndio mwezi chokochoko za maandamano zinataka kuanza
 
Ujumbe wa mtoto wa ayatollah kwa wairan😁😁
Nnimewawekea mpaka kwa kiswahili

Ujumbe wa kwanza wa Ayatollah Seyyed Mojtaba Hosseini Khamenei, kiongozi mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ulichapishwa kwenye redio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Ujumbe huu wa kimkakati, ambao umetolewa katika mada saba muhimu, una hoja maalum kuhusu kiongozi mkuu wa mapinduzi, jukumu na wajibu wa watu, vikosi vya jeshi, vyombo vya utendaji na upinzani, pamoja na nchi za kanda na kukabiliana na maadui.
 

Attachments

  • Screenshot_20260319_144833_Messages.jpg
    Screenshot_20260319_144833_Messages.jpg
    46.3 KB · Views: 16
Hasara ni kubwa sana kwa USA.
Uwekezaji alioufanya ziaidi ya miongo minne umeteketea ndani ya wiki 3 tu.
-Kambi za jeshi.
-Balozi.
-Uwekezaji wa kibiashara hususan mafuta.
-Radar za gharama.

Kiufupi USA ameshapoteza influence middle east.
Us bado hajapoteza influence middle east,
Why sababu alipo sasa hiv nchi husika hazina option ya kwenda kwingine. Russia is busy , china hawataki kuhusika directly


And for the record si base zote za us zimepigwa au balozi zote
Na aja attack base zote

Na si kweli bases zote zilishbuliwa kwamba masoja wamekufa wameziachanwazi nope. Bado zina watu.

So shambulizi doesnt mean success.

So iran wakati anaendelea kupoteza leadership yake aangalie namna nyingine ya kumuumiza us, maana bado Us ana power and influence
 
Back
Top Bottom