Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.
Wale mabinti wachezaji mpira ambao waligoma kuimba uwimbo wa taifa walikua SITA sio timu nzima.
Walipopewa Asylum na Australia WANNE walikataa wawili wakakubali.
Na leo hii raia wamewapokea kwa shangwe na maafisa wa serikali wamewapokea vizuri na kuwaasa waache hofu bali wagange yajayo.
-Iran ina wageni ambao ni wafanyakazi na pia wanafunzi waliokuja kusoma Iran wengi wakitokea East Europe na Far east kama Indonesia na INDIA. Na wapo ambao wakristo wanaishi vizuri tu.
Raia kinachowafanya wayachoke maisha ya Iran ni Vikwazo vya kiuchumi vinavyowafanya wao wasipige hatua kwenye utafutaji wa kimaisha.
Kama sheria ngumu wayahudi wameombaje uraia wa Iran na wanaishije hapo??
Wahindi wameombaje uraia wa Iran na wanaishije hapo!??
Kuishi chini ya economic sanctions kunaumiza ndio maana baadhi ya raia wanaona kheri utawala wa kishia utoke uje utawala mwingine ambao utakua rafiki na USA wawaondolee vikwazo.
 
Wayahudi wapo middle east karibu yote na hawakuomba uraia bali wapo toka zaman. Kinacho wakera watu ni sheria za ajabu ajabu ndio maana mwaka juzi kulizuka maandamano makubwa baada ya bint kuuwawa kisha hajavaa hijabu.
 
Us bado hajapoteza influence middle east,
Why sababu alipo sasa hiv nchi husika hazina option ya kwenda kwingine. Russia is busy , china hawataki kuhusika directly

And for the record si base zote za us zimepigwa au balozi zote
Na aja attack base zote

Na si kweli bases zote zilishbuliwa kwamba masoja wamekufa wameziachanwazi nope. Bado zina watu.

So shambulizi doesnt mean success.

So iran wakati anaendelea kupoteza leadership yake aangalie namna nyingine ya kumuumiza us, maana bado Us ana power and influence
Kwa mujibu wa gulf states hakuna operational base ya USA kwenye gulf state. Na amehamisha radar za mwisho na kuzipeleka Israel.
Hakuna wanajeshi kwenye kambi za USA mid east,wanajeshi wameondoka muda mrefu na waliobaki wapo kwenye balozi na wengine wapo mahotelini.

Asilimia kubwa ya baloz zimeshambuliwa.
USA ni hakika amepoteza influence kwasababu march 7 waarabu walikaa kikao kuona namna gani wataunga umoja tofauti na kutegemea USA kwa kitendo cha USA kuhamisha ADS na kuzipeleka Israel kiliwauma sana.
 
Wayahudi wapo middle east karibu yote na hawakuomba uraia bali wapo toka zaman. Kinacho wakera watu ni sheria za ajabu ajabu ndio maana mwaka juzi kulizuka maandamano makubwa baada ya bint kuuwawa kisha hajavaa hijabu.
Iran wayahudi huja na kuomba uraia hata katika hili embu tusibishane aisee. Hata hiki kitu cha kawaida unaleta ukinzani!?
Hayo yapo sio Iran peke yake kwenye sheria kali ila sheria kali so zote zipo baadhi kali zilizobaki rafiki kwa raia.
Na maandamano ni kawaida kwaajili ya kuamsha utawala uone wapi wanakosea na wapi wako sahihi.
Sio Iran peke yake kunatokeaga maandamano,Ufaransa mwaka jana yalitokea maandamano na wamekufa na kuumizwa watu wengi tu.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
Mbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.
Wewe unayependa nchi yako Tanganyika ukipata huo upenyo hauendi??

Acheni unafiki
 
💥💥💥💥
Iran imeshanbulia kwa makombora kituo Cha uzalishaji umeme Cha Haifa
20260319_190019.jpg
 
💥💥💥💥
Trump: nimemueleza Netanyahu asiendelee kushambulia meneo ya gasi na mafuta ndani ya Iran. Hatafanya hivyo tena
 
Back
Top Bottom