Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

F-35 imebatizwa kidogo!!!
Trump amejua kuidanganya dunia!

Screenshot_2026-03-19-20-05-06-22_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Huku nako Haifa refinery imepapaswa kidogo!

Screenshot_2026-03-19-20-09-09-22_6bcd734b3b4b52977458a65c801426b0.jpg


Waajemi wanazidi kumprove wrong Trump!
 
💥💥💥💥
Mkurugenzi mkuu wa usalama wa marekani: mojtaba amejeruhiwa vibaya kutokana na mashambulizi ya Israel. Hii imepelekea kuleta mchanganyiko wa maamuzi ndani ya Iran
 
Haifa refinery imebondwa huko, F-35 ilikuwa imeingia kwenye anga la Iran imepewa mpapaso, sasa sijui anamdanganya nani!?
Mkuu ukiambiwa nchi za ulaya ni tajiri haimaanishi wote ni matajiri bali percent kubwa
Ukiambiwa Tanzania au Uganda Ni maskini haimaanishi wote ni maskini Bali asilimia kubwa.
Hapo hamaanishi kwa 100%, anamaanisha kwa asilimia kubwa wamemaliza
 
Us bado hajapoteza influence middle east,
Why sababu alipo sasa hiv nchi husika hazina option ya kwenda kwingine. Russia is busy , china hawataki kuhusika directly


And for the record si base zote za us zimepigwa au balozi zote
Na aja attack base zote

Na si kweli bases zote zilishbuliwa kwamba masoja wamekufa wameziachanwazi nope. Bado zina watu.

So shambulizi doesnt mean success.

So iran wakati anaendelea kupoteza leadership yake aangalie namna nyingine ya kumuumiza us, maana bado Us ana power and influence
Base gani haijashambuliwa? Labda Jordan na Syria huko ambayo ipo mbali na Iran, Unajua maana ya kila MTU ajilinde anavyojua yeye? Sio Tu base zimepigwa Bali Askari wa USA wanawindwa mtaa kwa mtaa, wakienda hotelini ama popote wakionekana Shahed zinakuja kupiga ndio maana Balozi za Marekani zikatoa tamko kila MTU ajilinde mwenyewe.



Hawa wanajeshi wa marekani ndio maisha Yao sasa hivi wanajificha kwenye shelters wanasubiri Tu kupoe wakaokolewe. Hakuna tena Jeshi systematic hapo.

Balozi na kambi za Saudia, Iraq, Bahrain, Kuwait, Qatar na Emirates kote kumepigwa Sana. Kuna kambi zimepigwa watu wamekimbia kabisa, kila siku drones zinapita juu na kupost video online.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran
 
Iranian Embassy in Copenhagen Raises Pre-Revolution Flag as Diplomat Defects

In a striking blow to the Islamic Republic, the pre-1979 Lion and Sun flag now flies over Iran's embassy in Copenhagen. Video footage shows the historic national emblem hoisted on the flagpole, replacing the regime's current banner amid celebrations by Iranian exiles marking Chaharshanbe Suri.

This symbolic act follows confirmation that diplomat Alireza Sohbati, stationed at the embassy, has applied for asylum in Denmark. Reports indicate he refused to return to Iran, joining a small but growing wave of defections among regime officials this year.

While claims of multiple diplomats—including possibly the ambassador—seeking asylum remain unverified beyond Sohbati and one other case in Australia, the event underscores deepening cracks in the regime's grip. Unpaid wages plague security forces back home, loyalty erodes, and diaspora actions grow bolder.

The Lion and Sun stands as a clear rejection of the Islamic Republic's ideology and a call for restoration of Iran's pre-revolutionary identity. Freedom's momentum builds—one flag at a time.
 

Attachments

  • FB_IMG_17739411297944909.jpg
    FB_IMG_17739411297944909.jpg
    53.1 KB · Views: 12
Mbona huzungumzii wa wachezaji wa kike waliokataa kuimba wimbo wa taifa na kugoma kurudi Iran. Ukweli ni kuwa wa Iran wengi hawapendi utawala wao na hata wewe ukiambiwa ukaishi Iran chini ya zile sheria huwezi tatizo ni unafiki tu. Binadam wanahitaji uhuru sio kuishi kwa kulazimishana na masheria ya ajabu kama watu wapo jela. Na ndio maana hata wa Iran na waarabu wengi wakipata upenyo wanambilia Canada na Marekan na Sio Afghanstan au Yemen hii inaonesha watu wanapenda uhuru na lifestyle ya wazungu sema unafiki tu ndio umewajaa.
Hao wachezaji wa kike wamelazimishwa kufanywa hivyo na karibia wote wamepewa uhifadhi na wameamua kurudi Iran, why waache maisha mazuri ya uchawa warudi kwao Iran?

Kuna video inaenda viral pickup ya wafuasi wa Pahlavi wakiwagonga kwenye basi Lao, wangekua hawaipendi regime why wanakuwa harrased?
 
💥💥💥💥
Trump: tunaweza kuichukua kharg island muda wowote tunaotaka, nakiita kisiwa kidogo nikiwa nimekaa hapa, hakina tena ulinzi. Tumeharibu kila kitu kasoro mabomba ya mafuta sababu itahitajika miaka mingi kujenga tena
 
Back
Top Bottom